Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Kulikoni Sabaya hatumuoni tena Kiwanja huku A Town na msafara wake wa kimagumashi wa kuporea mademu wa watu?Asisahau kuwafyekelea mbali akina Sabaya, Chalamila na wengineo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikoni Sabaya hatumuoni tena Kiwanja huku A Town na msafara wake wa kimagumashi wa kuporea mademu wa watu?Asisahau kuwafyekelea mbali akina Sabaya, Chalamila na wengineo..
Na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Muhoji ni kimeo sana.Mama Usimsahau Yule Jamaa pale Ofisi yako ya Zamani amesumbua watu sana kuwatishia na kuwasumbua sana watumishi naamini yule uanze kumchapa kabisa kalamu..
Dpp ni msukuma?Serikali huwa hailali Bwashee.
Nadhani alikuwa anawaonya wale wasio heshimiana,hata hivo tutarajie kufumua fumua wale jamaa zake Meko.
Akina DPP akina Dotto James watatupwa
Hata Gabriel Malata hafai kuwa Solicitor General!!Serikali huwa hailali Bwashee.
Nadhani alikuwa anawaonya wale wasio heshimiana,hata hivo tutarajie kufumua fumua wale jamaa zake Meko.
Akina DPP akina Dotto James watatupwa
Hao wote Mama achote tuNa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Muhoji ni kimeo sana.
Hahah mkuu hahahmwenzako mayala alisubiria kwa kusifu na kuabudu hadi jiwe limeyeyuka lakini hakupata kitu
Ha ha ha...Kulikoni Sabaya hatumuoni tena Kiwanja huku A Town na msafara wake wa kimagumashi wa kuporea mademu wa watu?
Mi hata sielewi kabisa mkuuHahaha..Yaani kamkamia kishenzi
Sijuwi hawa jamaa wana ugomvi gani
Ma ccm kuroga ndiyo tabia yao ukiwepo na wewe" Wiki ijayo baada ya Pasaka natarajia kufanya Mabadiliko mengine ya Maafisa mbalimbali hivyo mnaoteuliwa sasa Kachapeni Kazi na acheni kuanza Kuwaza Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 "
Natamani ningekuwa Mganga wa Kienyeji ili nami hii Kauli ya Mama ambayo najua itawafanya walioko katika Nyadhifa na wale wanaozitaka Wafurike mno kwa Waganga wa Kienyeji Kuroga hivyo ningetajirika ghafla.
Natoa Ushauri wa bure tu wenye Vyeo vya Ukuu wa Mkoa, Ukuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Boss Mmoja hivi Mpare Mkuu wa Taasisi yenye Umuhimu Tanzania anzeni Kuomba Misamaha kwa mliowakwaza na Kuziandaa Familia zenu Kisaikolojia kwani kuna mtakaolia na Kuumbuka pia.
Msiseme tu All - Rounder sikuwaambia.
Kule lazima wapige deki aondoke huyoHapo makatibu wakuu nina wasiwasi hasa kule hazina