Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Tanzania haikujitangaza kuingia uchumi wa kati. World Bank kwa kutumia vigezo vyao walitutangaza. Sasa kama World Bank wanaona tumeboronga kiuchumi wakatuondoa kwenye hiyo hadhi ni pathetic.
Pole sana mkuu una maumivu makali sana.but haiondoi ukweli World bank,IFM zilitangaza wala si Magufuli.[emoji119]
Kipindi hiki kila kitu kinapikwa . Mfano mzur Ripoti ya mto Mara.Tumeshuka kivipi wakati makusanyo ya kodi yameongezeka mara dufuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu awamu hii ni uongo uongo tu. Waandishia ndo mawakala wa kupika Data za serikaliView attachment 2176513
“Tanzania yetu ilikwenda tukafika uchumi wa kati tukarudishwa, kwa uwezo wa Mungu wala si uwezo wa mtu, sasa hivi kazi yetu ni kupambana kurudi tulikokuwa tusije tukarudishwa tukaambiwa hamfai tena kukaa hapa, tupambane turudi kule.
“Na kwa mipango na jinsi ninavyoiendesha Serikali nina imani tutakapofika 2025 kama hatujafika tutakuwa tunakaribia, kwa sababu tunatarajia mwaka ujao tutakwenda kukua kwenye asilimia 5 na pointi, miaka miwili inayokuja tutakwenda kufika kwenye 6.8 tuliyokuwa kabla,” Rais Samia Suluhu Hassan.
Amesema hayo leo Aprili 5, Dodoma katika Mkutano wa Kitaifa wa Maridhiano, Haki na Amani ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
Vijitu vingine bwana km kichwa cha panzi. Kwani aliyesema kipato cha kati ni nani? Kupandishwa au kushushwa hizo grade ni za world bank, na si Rais fulan anajisemea. It means kwamba tumeshuka kiuchumi ndio maana wao wenyewe walitupa sasa hivi wametushusha kulingana na vigezo walivyotumia wakati huo
JPM alitupeleka Uchumi wa Kati,
Mama ameturudisha kwenye umasikini. 😥
Tunazidi kurudi nyuma kama taifa!Anafungua nchi🤣🤣🤣
Walifikir rahis rahis...
Ukiwa mjinga kabisa wa masuala ya uchumi, utasema Magufuli alituingiza uchumi wa kati. Ukiwa na akili, japo kidogo sana, utafahamu wazi kuwa safari iliyoanzishwa na Mkapa ya kuufikia uchumi wa kati, Magufuli aliififisha.
Mkapa aliongeza Per Capita Income ya Mtanzania kwa dola 400 katika kipindi cha miaka 10. Kikwete dola 380. Magufuli dola 80.
Tunazidi kurudi nyuma kama taifa!
Kupanda tulifanya sherehe na Duni nzima ikajua. Kushuka hatukuambiwa mpaka leo halafu hawa semi ni lini... Unataka bado tuendelee kuamini huu uhuni... Over my dead body. Waseme tu uongo wote walioufanya huko nyuma. Walipika data. Period.Watu wanalalamika kuwa tumetoka na imekuwa siri. Na wengi ni hao hao waliokuwa wanasema sio kweli hatumo humo. Very funny 😀
Halafu hatuoni yanakoenda.Sasa hv ni kipindi cha siasa hakuna maendeleo ni kupiga matozo na makodi ya waTz
Kwahiyo unadhani wewe na Mama nani ni mkweli sasa [emoji848]Ulidanganywa kuwa uchumi wako umekuwa na yule kichaa. Na wewe kwa akili yako, ukapiga makofi.. pwa, pwa, pwa... wakati ukweli ni kuwa kipato chako bado kiko pale pale.
Unafikiri World Bank wanatoa wapi takwimu zao. Wanatumia takwimu zinazotoka hapa hapa Tanzania. Takwimu hazitoki makao makuu ya World Bank Marekani.
Yule kichaa IMF walimwambia kuwa takwimu zake ni feki. Akakasirika na kuwazuia IMF kuchapisha takwimu zao zilzoonyesha kuwa uchumi unakuwa kwa kiwango kidogo.
Mh.Rais SSH yuko sahihi....UCHUMI WA KATI TULIOKUWEKO umeporomoka kwa sababu ya JANGA LA UVIKO 19.........
Si serikali yenye kuweza kulaumiwa....
Wala si mh.Rais SSH mwenye kulaumika....
Corona
Corona
Corona
#Siempre JMT🙏
Kwahiyo unadhani wewe na Mama nani ni mkweli sasa [emoji848]
Kitu gani ambacho Mama kashindwa kukieleza wazi kwa wananchi kilichokuwa sicho juu ya JPM hadi leo hii akubaliane na uchumi feki uliopangwa na JPM [emoji848]
Chuki hazijengi ndugu, umemchukia akiwa hai sababu ya kutumbuliwa jipu lako lenye harufu chafu, cheti feki na kuzibiwa mianya ya magendo na wala siyo suluhisho kimaisha kuendekeza chuki za kijinga kwa Marehemu asiyesikia, ongea wala kukujibu chochote zaidi ya kujitengenezea sonona tu [emoji57]
Lipumbavu sana hilo Jamaa kisa tu chuki zinazomtesa, eti takwimu za IMF zikielezea uhalisia wa uchumi wa kati kwa uchanya juu ya TZ ni za uwongo, lakini hao hao IMF wakitoa taarifa kuwa TZ imetoka uchumi wa kati ni za ukweli [emoji1]Sasa tutakuwa na uhakika gani kama hivi sasa takwimu zilizotolewa na selikali ni za kweli?
we jamaa wacha uonho[emoji1]
Retired na brazaj mlikuwa mnasema ati hayo yalikuwa ni ya Magufuli!!! Mungu wenu sasa kasisitiza, je mnaona mlivyo wapuuzi?View attachment 2176513
“Tanzania yetu ilikwenda tukafika uchumi wa kati tukarudishwa, kwa uwezo wa Mungu wala si uwezo wa mtu, sasa hivi kazi yetu ni kupambana kurudi tulikokuwa tusije tukarudishwa tukaambiwa hamfai tena kukaa hapa, tupambane turudi kule.
“Na kwa mipango na jinsi ninavyoiendesha Serikali nina imani tutakapofika 2025 kama hatujafika tutakuwa tunakaribia, kwa sababu tunatarajia mwaka ujao tutakwenda kukua kwenye asilimia 5 na pointi, miaka miwili inayokuja tutakwenda kufika kwenye 6.8 tuliyokuwa kabla,” Rais Samia Suluhu Hassan.
Amesema hayo leo Aprili 5, Dodoma katika Mkutano wa Kitaifa wa Maridhiano, Haki na Amani ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
Shangaa hata wewe eti kisa kumfurahisha JPM, kwani walikuwa wanamuogopa sana au JPM aliwaahidi kipi hasa kizuri hadi waamue kuiweka TZ katika uchumi wa kati kwa taarifa feki [emoji848][emoji847]Wewe ni mbwiga.
Taasisi kama IMF haiwezi kuidanganya dunia ili kumfurahisha Magufuli.
Wawekezaji wa level ya dunia wanatumia data za IMF na WB.
Ututusa wako wapelekee Bavicha wenzio!