Kwani JK na Mkapa hawajawahi kufanyia kazi Wizara nyingine?
Tumekuwa na Marais 6 hadi sasa
Nyerere- Mbunge, Waziri Mkuu then Rais
Mwinyi- Balozi, Waziri Ndani, Rais Zanzibar then Rais Tz
Mkapa- Balozi, Waziri Habari, Waziri Nje then Rais
Kikwete- Naibu Nishati, Naibu Fedha, Waziri Nje then Rais
Magufuli- Naibu Ujenzi, Waziri Ardhi, Mifugo, Waziri Ujenzi then Rais
Samia- Naibu Waziri, Waziri Makamu wa Rais then Makamu wa Rais then Rais
Sasa ona Makamba👇
Makamba- Waziri Makamu wa Rais, Waziri Ujenzi now Waziri Nje
Ukiangalia vizuri Makamba amekaa Wizara zote walizokaa Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Samia
If you know what I mean🤣