Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani umejifcha nyumbani kwako na Tecno unapost unasema tulikuonya rais wewe na nani labda na familia yako urais ni taasisi siyo mtu mmoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani umejifcha nyumbani kwako na Tecno unapost unasema tulikuonya rais wewe na nani labda na familia yako urais ni taasisi siyo mtu mmoja.
Tangu lini mwizi akakamata mwizi mwenzieWale wote waliotajwa na CAG kuwa wamepiga mabilioni wamehamishwa na kupewa ulaji mwingine.
Serikali ya Samia haina nia ya kupambana na Rushwa na wizi wa Mali za Umma.
Makamba amefeli Nishati ameenda kufichwa huko nje, wacha kujitekenya na kucheka mwenyewe kama mtoto.Tumekuwa na Marais 6 hadi sasa
Nyerere- Mbunge, Waziri Mkuu then Rais
Mwinyi- Balozi, Waziri Ndani, Rais Zanzibar then Rais Tz
Mkapa- Balozi, Waziri Habari, Waziri Nje then Rais
Kikwete- Naibu Nishati, Naibu Fedha, Waziri Nje then Rais
Magufuli- Naibu Ujenzi, Waziri Ardhi, Mifugo, Waziri Ujenzi then Rais
Samia- Naibu Waziri, Waziri Makamu wa Rais then Makamu wa Rais then Rais
Sasa ona Makamba[emoji116]
Makamba- Waziri Makamu wa Rais, Waziri Ujenzi now Waziri Nje
Ukiangalia vizuri Makamba amekaa Wizara zote walizokaa Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Samia
If you know what I mean[emoji1787]
Hata Membe alikuwa waziri wamambo ya njeUngejua Marais 2 wa nchi hii walitokea Wizara ya Mambo ya Nje ungekaa kimya.
Taasisi ya hovyo kuwahi tokea tangu kuumbwa kwa duniayaani umejifcha nyumbani kwako na Tecno unapost unasema tulikuonya rais wewe na nani labda na familia yako urais ni taasisi siyo mtu mmoja.
Acha kujidanganya Magufuli na Samia walipita hiyo Wizara?Kiko wapi kivipi. wakati ana andaliwa kuwa Rais kapewa wizara nyeti.. Ambayo ni njia ya kuelekea Magogoni
Ni wazi kuwa sasa Kassim Majaliwa na mama haziivi kabisa. Ni vile tu ameona kumuondoa italeta noma, vinginevyo angemuondoa.
Ndiyo maana mama kaona bora avunje katiba amuweke mtu (naibu waziri mkuu) ofisini kwa Majaliwa ili atekeleze yale yote ambayo anayataka.
Huko ndani Kuna mtifuano usiokuwa wa kawaida. Juzi tu baosi wa usalama wa taifa kaondolewa na leo waziri wa ulinzi ameondolewa. Soon or later tutayaona ya Gabon, Burkina Faso, Mali, Niger na Liberia.
Tanzania njema yaja!
Akagombea Ila ndiye mgombea pekee tangu Uhuru kufanya kampeni kijijini kwake tu na kwenda nje ya nchi kupumzika huku akirudi kwa mbwembwe nyingi 😀😀Hata hayati Membe alipewa Wizara hiyo, kama Mungu hajakuandikia huwezi kuwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Taasisi ya mafisi-emu!yaani umejifcha nyumbani kwako na Tecno unapost unasema tulikuonya rais wewe na nani labda na familia yako urais ni taasisi siyo mtu mmoja.
Tena alikuwa anaandaliwa kuwa rais.Hata Membe alikuwa waziri wamambo ya nje
CCM ni kikundi cha weziT
Tangu lini mwizi akakamata mwizi mwenzie
Mpumbavu wewe.Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa?
Hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, licha ya kwamba awamu ya 5 ilibakiza vijiji elfu 2 nchi nzima,January Makamba ameacha mgao wa kutisha wa umeme kila kona, huku akisaini mikataba ya mabilioni ya pesa na wawekezaji hewa kutoka nje.
Legacy ya Makamba ni ipi hapo Tanesco?
Ujinga tu na na betting za mitandaoni; Nyerere alikuwa mwalimu, Mwinyi mwalimu, Magufuli Mwalimu. Ndo tusema ukasome ualimu ili upate urais?Ungejua Marais 2 wa nchi hii walitokea Wizara ya Mambo ya Nje ungekaa kimya.
Km membe si ndiyo?Ungejua Marais 2 wa nchi hii walitokea Wizara ya Mambo ya Nje ungekaa kimya.
Membe alikuwa wizara gani?Kiko wapi kivipi. wakati ana andaliwa kuwa Rais kapewa wizara nyeti.. Ambayo ni njia ya kuelekea Magogoni
Machawa huwa wanajitowa akili, pesa zipo wizara ya Nishati kanyang'anywa Tonge mdomoni.Km membe si ndiyo?
Ufahamu lolote, pesa zipo ujenzi, Nishati na maliasili.Mambo ya Outside ndio kuna ulaji mzuri zaidi kuliko kuuza Majenereta