TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Legacy yake ni kuliweka Taifa katika giza muda wote na wiki hii ilopita kavunja rekodi ya nchi kukaa gizani karibu mikoa yoteRais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa?
Hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, licha ya kwamba awamu ya 5 ilibakiza vijiji elfu 2 nchi nzima,January Makamba ameacha mgao wa kutisha wa umeme kila kona, huku akisaini mikataba ya mabilioni ya pesa na wawekezaji hewa kutoka nje.
Legacy ya Makamba ni ipi hapo Tanesco?