Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

Hata hayati Membe alipewa Wizara hiyo, kama Mungu hajakuandikia huwezi kuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mnajua Mungu ndio hupanga basi mjue pia kwamba Samia ni Mpango wa Mungu,Kwa hiyo makelele ya chuki zenu hayawezi wasaidia maana atakuwa akilala Mungu anamuonesha wa kuchomoa 😂😂
 
Kiko wapi kivipi. wakati ana andaliwa kuwa Rais kapewa wizara nyeti.. Ambayo ni njia ya kuelekea Magogoni
Magogoni my foot! Magufuri(R.I.P) alikuwa waziri wa wizara zipi kabla ya kuwa rais?Wizara nyeti my foot! hii wizara aliyopewa ata Shilole anaweza kui-run vizuri tu.

Hii ndio sababu Afrika mapinduzi hayataisha.Unataka kusema kwamba Rais anaandaliwa hivi sio?(hii reasoning sio ya mtu wa kawaida labda unaweza kuwa divine creature mwenzetu)

Hakuna cha safari ya Magogoni wala Chamwino hapa.Jibu ni kwamba home boy(his excellency Makamba) kapuyanga kwenye wizara aliyokuwa nayo na hii ni kama katupiwa taulo tu kwa sababu ya influence ya wazazi wake katika siasa za taifa hili na chama pia
 
Kwani JK na Mkapa hawajawahi kufanyia kazi Wizara nyingine?
Tumekuwa na Marais 6 hadi sasa

Nyerere- Mbunge, Waziri Mkuu then Rais

Mwinyi- Balozi, Waziri Ndani, Rais Zanzibar then Rais Tz

Mkapa- Balozi, Waziri Habari, Waziri Nje then Rais

Kikwete- Naibu Nishati, Naibu Fedha, Waziri Nje then Rais

Magufuli- Naibu Ujenzi, Waziri Ardhi, Mifugo, Waziri Ujenzi then Rais

Samia- Naibu Waziri, Waziri Makamu wa Rais then Makamu wa Rais then Rais

Sasa ona Makamba👇

Makamba- Waziri Makamu wa Rais, Waziri Ujenzi now Waziri Nje


Ukiangalia vizuri Makamba amekaa Wizara zote walizokaa Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Samia


If you know what I mean🤣
 
Yeye aliomba trillion moja
 
Wale wote waliotajwa na CAG kuwa wamepiga mabilioni wamehamishwa na kupewa ulaji mwingine.

Serikali ya Samia haina nia ya kupambana na Rushwa na wizi wa Mali za Umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…