PostGE2025 Rais Samia: Tumeambiwa vijana walioingia barabarani kudai haki walilipwa fedha kwanza

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hata polisi walioua walilipwa Na bado wanalipwa
 
Ana shida ya kusahau alafu pia ameharibika kisaikolijia kuua watu sio kazi nyepesi inahitaji uwe na roho ngumu
 
Huyu mama kweli hawezi hata kuchuja mambo hata kama wanamletea taarifa anashidwa kuchuja kwamba huu uongo hii ni kweli?

Alisema wale ni Wakenya leo anasema wamelipwa ni kiasi gani cha pesa unaweza lipwa uende kutoa uhai wako basi hao walio walipa vijana wana pesa nyingi kama unaweza Lipa vijana wote wale watoe uhai wao endeleeni kujidanganya kwa Tume za mchongo na maneno yanayoongeza chuki unaendeleza malumbamo na vijana wa GenZ aya
 
Sasa kama anajua walilipwa, kuna haja gani ya kuunda tume ya kuchunguza jambo analolifahamu?
Alafu walipwe na nani Sasa? Na huyo anayewalipa anafaidika na Nini? May be lengo lake ni kuhamisha magoal ili tume isijikite kwenye kiini chenyewe lakini hata hivyo ndio kakosa hoja zote ndio kaja na hii ya vijana wamelipwa???
 
CCM wamempa kichaa rungu
 
Huyu kababa akili hana 😁😁😁 hivyo hata watanganyika kutokeenda kupiga kura waliongwa ? Ushahidi kuwa huyo kahaba hakuna anaye mtaka ni watu kugomea kupiga kura, tena hata ile mikoa yenye waislamu wengi ..pia wanawake wenzake kugomea kupiga kura ...sasa atuambie hata hao walihongwa ...😁😁😁

Sa100 Lazima aseme hivyo kwa sababu hiyo mbinu yeye ndiyo anaitumia kuhalibu Tanganyika kwa kuonga watu ....hata lissu alifuatwa na abdul kuongwa .
 
Huyu kababa akili hana 😁😁😁 hivyo hata watanganyika kuto kwenda kupiga kura waliongwa ? Ushahidi kuwa huyo kahaba hakuna anaye mtaka ni watu kugomea kupiga kura, tena hata ile mikoa yenye waislamu wengi ..pia wanawake wenzake kugomea kupiga kura ...sasa atuambie hata hao walihongwa ...😁😁😁

Sa100 Lazima aseme hivyo kwa sababu hiyo mbinu yeye ndiyo anaitumia kuhalibu Tanganyika kwa kuonga watu ....hata lissu alifuatwa na abdul kuongwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…