PostGE2025 Rais Samia: Tumeambiwa vijana walioingia barabarani kudai haki walilipwa fedha kwanza

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Amebadilisha gea angani....sio wageni tena aisee! Kuongoza nchi hii raha saja. Nchi inaweza hata kuongozwa na JIWE na ikatawalika!
Shida ya kutaka kuhamisha magoal ndio maana inampelekea kutoa maboko Kama haya
 
Shida wanataka kumtafuta mchawi wa kumtoa kafara badala yake inapelekea kutoa maboko Kama haya
 
Kwamba huoni kama walioumia wanahitaji pesa za matibabu? Hadi sasa watu wanachangishana kuwauguza waliojeruhiwa
sina shida na mahitaji ya fedha ya matibabu, kwanini yeye ndio mtoa fedha? Na wa kuombwa fedha?
Kwanini hujapigiwa wewe?
 
Kila kete anayoisogeza gen z wanateremka nae jumla jumla na hiyo ndo inazidi kumchanganya, na mwisho m'baya imeshafika kwake.
 
Hivi na wewe ni Mtanganyika?wewe ni CCM?Aiseee

Hata uwezo wa kuona kwamba nchi hii Kuna shida sehemu unashindwa?Uchawa wako utaangamiza Taifa!
 
sina shida na mahitaji ya fedha ya matibabu, kwanini yeye ndio mtoa fedha? Na wa kuombwa fedha?
Kwanini hujapigiwa wewe?
Umeambiwa wewe ndo unapewa pesa za matibabu? Umeumia kwenye maandamano?
 
Kauli kama hizi zinaifanya hata hiyo tume iwe haina maana.

Ni kama anaielekeza tume ipate majibu gani kabla tume haijaanza kazi.
 
Uongo uongo yaani vijana kwa maefu pesa yenyewe iko wapi
 
Umeambiwa wewe ndo unapewa pesa za matibabu? Umeumia kwenye maandamano?
sawa, tuachie hapa, ngoja tuone watakavyo vutana. Binafsi ni observer mwenye interest na usalama wa nchi tu.
 
sasa kama wana hizo infos na ni za kweli kwa nini hawaendi after hizo ngo's na kuzisurubu kama wanavyosurubu wabongo hapa tanzagiza? i mean, ingekuwa kazi kwisha kabisa mara moja ...
Kuna NGOs mbili zina makao makuu ya Africa yapo Nairobi. Moja ni ya George Soros inaitwa Open Society Foundations na nyingine inaitwa Ford Foundation. Hizi ndiyo zinawatumia na kuwalipa akina Maria Sarungi kwa akili ya kuleta instability kwenye nchi zetu kwa kisingizio cha haki za binadamu. Mwishowe wana agenda ya kueneza LGBTIQ (Ushoga)
 
Inashangaza sana hizi kauli za uongo.Sidhani kama tutafika?
 
Inashangaza sana hizi kauli za uongo.Sidhani kama tutafika?
 
Wakina pole pole wanatekwa, alikibao kauliwa, Gwajima makanisa yake yamefungwa kwa sababu ya kuzungumzia utekaji, polisi wanawabandikia kesi raia, ukizungumza kwa kuikosoa serikali unatekwa unadhani haya yote raia hawaoni kiasi ambacho waandamane mpaka washawishiwe
 
Kikubwa hii zero brain ikifa.. ubongo wake ufanyiwe tafiti, sababu ni kiongozi wa ajabu sana toka tupate uhuru. Level yake ya upumbavu imepitiliza kiwango cha binadamu wa kawaida.
 

CCM ndiyo mabingwa wa kuhongwa au kutoa rushwa labda waulizwe wenyewe
 
Ukishamweka Gwajima na Polepole unaharibu mantiki ya hoja yako. Hao wawili ni zao za mfumo ulioanzisha matatizo ya utekaji na uuaji wakati wa era ya Magufuli
 
Dawa Gen Z Sasa Dawa ni kuwaingiza wajumbe wa hii tume na ndugu zao kwenye list Yao …watu waseme nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…