mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kwahiyo ukipigwa risasi mpaka uhojiwe ndio uchunguzi unaanza? Mbona kule mtwara mfanyabiashara kauwawa na uchunguzi Prime Minister kaweka tumeItafika wakati Lissu ataweka shart atakama akirudi yeye na dereva wake wasiohojiwe na police kuhusu kushambuliwa kwake ila tu police wafanye uchunguzi kwa njia nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu sio mtu wa kukaa kimyaKama Samia kaamua hivyo hakuna tatizo.
Ila lazma watakuja kugombana maana itikadi ni tofauti...
Upinzani ni uadui?Huyu mama hawajui maadui zake, alimruhusu mbowe kupiga misele akaja kustuka akaona anamuharibia Leo anamkaribisha kivuruge wa CCM Je unahisi kutakucha salama kabla ya 2025?
Tundu Lissu ni mdogo wake Mama, kwahiyo impliedly, Tundu Lissu ni mjomba wa taifaKila mwanaume ni Mjomba kwa watoto wa Dada zake, na Mjomba ni jinsi tu iliyomtofautisha na Dada yake ambaye ni Mama. Angezaliwa mwanamke angekuwa Mama. That is the meaning of Mjomba ni Mama. SIYO TUSI
Hao unaowaita maadui ndio walewale ambao JK na Mkapa waliishi nao miaka kumi kila mmoja katika utawala wao. Waliongea, ya kujibiwa yakajibiwa, ya kurekebishwa yakarekebishwa, ya kupuuzwa yakapuuzwa, maisha yakaendelea kwa miaka 20.Huyu mama hawajui maadui zake, alimruhusu mbowe kupiga misele akaja kustuka akaona anamuharibia Leo anamkaribisha kivuruge wa CCM Je unahisi kutakucha salama kabla ya 2025?
Sawa mkuuKupitia mahojiano maalumu na DW Rais Samia amesema kwamba Serikali imefuta kesi zote za Tundu lissu zilizokuwa mahakamani hivyo kama tatizo ni kesi arudi Tanzania...
TawileKila mwanaume ni Mjomba kwa watoto wa Dada zake, na Mjomba ni jinsi tu iliyomtofautisha na Dada yake ambaye ni Mama. Angezaliwa mwanamke angekuwa Mama. That is the meaning of Mjomba ni Mama. SIYO TUSI
HakikaChokochoko za kisiasa si mbaya kama za kidini. Udini uepukwe kama ukoma
lile sio JAMAA... Hakuwa na UJAMAA wowote...Mama ni mwenye huruma sio lile jamaa lililotafsiri upinzani ni UHAINI
Mjomba ni mama ila hana matombo
Wapuuzi hata ikiwaje hambadiliki akili/mioyo !!.Itafika wakati Lissu ataweka shart atakama akirudi yeye na dereva wake wasiohojiwe na police kuhusu kushambuliwa kwake ila tu police wafanye uchunguzi kwa njia nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama ni mwenye huruma sio lile jamaa lililotafsiri upinzani ni UHAINI
watakula nini- hilo ndilo linalo wasumbuwa hawataki tu kusema ukweliWakimbizi wa kisiasa mmesikia huku rudini nyumbani Sasa.
Lissu sio mtu wa kukaa kimya