Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
AhsanteKila la heri
Ameen 🤲Kila la heri
Waha wamekuwa wakitumiwa na CCM kwa miongo mingi bila kupozwa na chochote.Kuhusu barabara amesemaje ?
Watampa pipa la mawese na debe la migebukaWaha na Wamanyema sijui watatoa zawadi gani ngoja tuone?
Migebuka?! Mama kachoshwa na Vibua.
Wameshapozwa kwa kupewa makamu wa raisi mkuu, sijui kwa upande wa wamenyema ambao wengi wako upande wa bwana Kabwe.Waha wamekuwa wakitumiwa na CCM kwa miongo mingi bila kupozwa na chochote.
Watatoa kuheWaha na Wamanyema sijui watatoa zawadi gani ngoja tuone?
Migebuka?! Mama kachoshwa na Vibua.
Mtazamo huu ni wa kipuuzi.Tumpe zawadi kwa nini?Anatekeleza wajibu wake kama sisi tunavyotekeleza wajibu wa kulipa kodi.Waha na Wamanyema sijui watatoa zawadi gani ngoja tuone?
Migebuka?! Mama kachoshwa na Vibua.
Tamaduni za KiChifu hizo,yeye kama Chifu Hangaya Machifu wa Kiha na Kimanyema sijui watampa zawadi gani.Mtazamo huu ni wa kipuuzi.Tumpe zawadi kwa nini?Anatekeleza wajibu wake kama sisi tunavyotekeleza wajibu wa kulipa kodi.
Huyo mwenyeji wa nchi amekatazwa kwenda Kigoma na kutumia fursa za maendeleo katika uwekezaji?.Wrong approach.
Inatakiwa umeme umsaidie mzawa kujikwamua kiuchumi na sio kumwezesha mgeni kuja kushika vyanzo vya uchumi vya Taifa hili.
Kuendelea kufikiria kuwa wageni ndio wataleta maendeleo yetu badala ya sisi wenyewe ni makosa yanayojirudia kila mara katika awamu hii.
Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Kigoma, leo Jumatatu Oktoba 17, 2022
Akizindua Umeme wa Gridi ya Taifa na Uzimaji wa Jenereta katika Mkoa wa Kigoma - Kasulu Mjini.
Rais Samia amesema lengo la kuleta umeme kigoma ni kuanza kuvutia wawekezaji kwenye mkoa huo ulio pembenzoni mwa nchi.
Amewataka wananchi wa Kigoma kutunza majenereta yaliyokuwa yanatumika zamani pamoja na miundombinu mipya ya kusafirisha umeme iliyojengwa ili nishati hiyo ichochee maendeleo ya watu.
Migebuka ni Vibua waliochangamka.Watampa pipa la mawese na debe la migebuka