Katika kitu huwa nashangaa,ni kuona watumishi wenye mishahara mikubwa ndiyo pia wanaopewa posho ya nauli na nyumba na wale wa taki 3 ndiyo wanakomaa na vimishahara vyao katika kujilipia kila kitu.

Au ndiyo wanasimamia hapa?

Luka 19:26

“Akawajibu, ‘Nawaambia kwamba kila aliye na kitu, ataongezewa. Lakini yule asiye na kitu, hata alicho nacho atanyangʼanywa.
 
Wewe huna kazi nini? Wafanyakazi wote wamefurahi leo kwa kuongezwa mishahara, wewe unahororoja bila mpango.
Mshahara gani ulioongezwa? Hiyo annual increments au kitu gani?
 
Mshahara gani ulioongezwa? Hiyo annual increments au kitu gani?
Kasome post namba 1 au ingia youtube uisikilize hotuba ya kipenzi Rais wetu Mama Samia.

Ma jobless poleni lakini msikate tamaa, mama anazalisha kazi mpya kila kukicha.
 
Kasome post namba 1 au ingia youtube uisikilize hotuba ya kipenzi Rais wetu Mama Samia.

Ma jobless poleni lakini msikate tamaa, mama anazalisha kazi mpya kila kukicha.
Acha utabiri wa kienyeji, kimsingi hotuba yote nimeisikiliza ila sijaiona hotuba kwa ukubwa huo kama ulivyoiona chawa wa samia.
 
Fedha ndogo sana ila Marehemu Mwendazake akaamua kuwadhulumu wafanyakazi.
 
Kama "hujaiona" kazi ni kwako.

Anza kufanya kazi, wacha kumtegemea dada'ko siku zote, utamzeesha mapemakum

Kama "hujaiona" kazi ni kwako.

Anza kufanya kazi, wacha kumtegemea dada'ko siku zote, utamzeesha mapema.
Kumbe hukunielewa nilipokuambia acha uganga wa kienyeji, kwani tunafahamiana tofauti na jamiiforum
 
Hii
Ni kama kwenye basi la mkoani unasafir halafu anakuja mtu anauza 🍿 popcorn wakati ndani ya basi hakuna TV wafanyakazi wa tz tusande mama anashaurika sana na wezi za haki za watanzania#mfanyishwa#kazi#nguli
 
Apunguze Kodi, PAYE.

Awaambie vyama vyake vinavyojiita vya wafanyakazi wapunguze Makato, wanaumiza wafanyakazi.

Africa mashariki yote, Tanzania ndio wafanyakazi wanakatwa Kodi kubwa.

KIKOKOTOO Cha KUSTAAFU ni uonevu.


Madaraja yapande kwa wakati.
Rwanda wako vizuri
 
Nchi hii Ina fursa kweli.

Ila siku hizi, utumishi umegeuka JELA.

Kuna maeneo hayana fursa hata ya kufuga kuku.

Na ukishaajiriwa huko KUHAMA ni Kama unataka kupindus serikali.

""Na ukishaajiriwa huko KUHAMA ni Kama unataka kupindus serikali.""

I understand You.

#YNWA
 

Acha uongo ww. Sio hizo unazosema. Fatilia. Mwaka 2017 Magufuli aliweka annual increments na ilikua km 2.3% ya basic salary. So ukitoa kinabaki cha kawaida kidogo lkn sio kwa udogo huo unaosema lkn pia inategemea na basic yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…