Uongo mtupu.View attachment 2762890
Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
Tulieni jamani Mama anarekebisha mitambo kidogo!Makamba alisema hivyo hivyo tangu ateuliwe yeye anasema Leo tena
Maharage alisema ishu ni maji Leo Samia amasema mitambo
Hamna Rais hapo ni kilemba tu
USSR
Bibi muongo sana huyuMwaka jana si ndo walisema wanazima wafanyie matengenezo
Kwanini na wewe ni msahaulifu kiasi hicho? Mwaka jana walisema Magufuli hakuwahi kufanyia maintenance hivyo wanazima ili wafanye jambo hiloThis is insulting our intelligence kwahio mpaka kesho hatuna plan B na tutaendelea kuwa na mapungufu kila pale ambapo so called maintenance zinafanyika ?
Huenda mimi sio mwelewa lakini this shows lack of planning (hata kama anachosema ni kweli); Sababu walijua since day one kwamba maintenance zitafanyika na walijitayarisha vipi wakati wanazifanya ? Ni pesa ngani tumeshatumia katika Maintenance alizosema Makamba kwamba zikiisha na Mgao utaisha ? Ule usukaji mpya wa Makamba aliosema uliochukua mapesa ya kutosha umeishia wapi ?
Na kitu kizito chenye ncha Kali!🤣🤣🤣tumepigwa sinui kama mnajua
Kuweni makini na komenti zenu ban Nje nje....Mimi nimeishajizuia tayari kuepuka ban.
Wakati mwingine shirikisha ubongo na unachotaka kuandika.Matumizi ya umeme Bara na Zanzibar ni sawa?Mashine zipi mbona kwao zenji umeme haukatiki hovyo huyo mama nchi imemshinda
Rudia kusoma nilichosema....... Nimesema and I Qoute...Kwanini na wewe ni msahaulifu kiasi hicho? Mwaka jana walisema Magufuli hakuwahi kufanyia maintenance hivyo wanazima ili wafanye jambo hilo
Ni pesa ngani tumeshatumia katika Maintenance alizosema Makamba kwamba zikiisha na Mgao utaisha ?
Haya yote yanafanyika kwasababu hatuna chama cha upinzani.Huyu Hangaya hana kauli yoyote....anasubiri remote itoe signal ndio afungue mdomo.
👇👇....c&p
Gangsters in Suit.
KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023, waliagiza na kuamuru maji katika bwawa la Mtera (Catchment area; 68,000 km² (26,000 sq mi)) yafunguliwe na kumwagika nje.
Hoja yao; Maji yangelijaa sana na yangelipasua bwawa la Mtera. Wahandisi na wataalam kutoka katika bwawa la Mtera wakapinga jambo hilo kitaalam.
Wataalam na wahandisi kutoka Mtera wakawaleza hifadhi ya maji (reservoirs) kwenye Rock-fill dam hutumika kwa shughuli nyingi siyo Hydropower tu.
Hifadhi ya maji (reservoirs) kwenye Rock-fill dam (kama Mtera) hutumika hata katika irrigation, human consumption, industrial use, aquaculture, na navigability.
Lakini kwa mamlaka yao, KIPARA na Maharage wakaagiza kwa lazima maji yafunguliwe katika bwawa la Mtera. Maji yakafunguliwa.
Maji hayakujaa tena katika bwawa la Mtera, kwa sababu mvua zilipotea. Sasa nchi yetu inapitia mgao mkali wa umeme kwa sababu ya wahuni.
Septemba 2023 mgao umekuwa mkali na wanaohusika na umeme wanajitetea kwamba kuna upungufu wa uzalishaji umeme kwenye mabwawa kutokana na ukame.
Kuliko kuwahamisha kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine, hawa ‘wahuni’ walipaswa kupumzika utumishi wa umma. Hawatufai.
Tunataka kuamini kwamba ‘Rais ni taasisi’ na Rais anatakiwa kuwaondoa katika utumishi wa umma hawa wahuni. Haitakiwi kuwahamisha waharibifu kutoka ofisi moja kwenda nyingine.
Wakati hawa wahuni wakisubiri nje ya utumishi wa umma, Tunahitaji uchunguzi wa kamati maalum ya bunge katika jambo hili, haraka. Ingawa lenyewe ni dhaifu.
Haiwezekani wahuni wananufaika kuingiza na kuuza majenereta wakati wengine tunapata msoto wa mgao wa umeme. Wanatutia umaskini.
MMM, Mtikila.
Mhasibu[emoji205][emoji205][emoji205]View attachment 2762895
Maintenance ya tangu 2021 na plans kibao kumbe hakuna kilichofanywa na makamba na maharage leo samia anarudia kile kile kweli watanzania tumedharaulika tumegeuzwa watoto wa kudanganyiwa pipi😩Nimejikuta nakasirika sana aiseee.....🤨
Wanamdanganya kama wanavyotakaAkizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
Hauna kitu kichwani chawa wa mamaWakati mwingine shirikisha ubongo na unachotaka kuandika.Matumizi ya umeme Bara na Zanzibar ni sawa?