Rais Samia: Tuna ‘crisis’ ya umeme, tunafanya ukarabati wa mashine

Watu wanashindwa kuelewa kuwa maharage ni jamii ya kunde yaani legumes .kila yanapoota huacha kitu toka kwenye nodules za mizizi
 
Ndugu zangu urais ni kazi ngumu. Ndiyo maana anko Magu aliamua kutumia maguvu tu maana katika nchi zetu hizi bila maguvu mambo aisee hayaendi. Huyu mama mpaka namwonea huruma sometimes. Hata watu wake wa karibu hawamsaidii masikini. Mungu na Amsaidie 🙏🏿
 
Aachie ngazi kama mambo yamemshinda yani Katia aibu Leo kugongelea mambo ya maintanance sijui service makamba na maharage walikuwa wanafanya nini kipindi CHOTE CHA MIAKA miwili?
 
Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme

Akili zilezile za Makamba.

Alichofanya ninkukopi na kupest .

Ni haki yake ilikua Kusoma Kwa kuunga unga.
Kwahiyo Toka ameingia mwaka 2021, 2022, ni holaaaaaaaa ,mitambo haikuzimwa kufanyiwa maboresho.
 
Naona hapa mama ameingia kwenye mfumo wa 4-4-2 na ameingia kweli kichwa kichwa tena,baada ya iyo miezi 6 kwisha aliyompa uyo mkurugenzi mpya Tanesco atabadili tena mfumo na kwenda na mfumo wa kujilinda 3-5-2 na hapo ndio uchaguzi utakuwa umewadia
 
Bibi muongo sana huyu
Yaani maskini leo sijui kaamkia upande gani kuja kudanganya Taifa hili ndio tatizo la kuwa mswahili kaja kutupasha tunavyomshangaa na hiyo teua tengua yake isiyoeleweka bila kujua anaharibu zaidi😩

Service ya mitambo ni story ya zamani ya mwaka 2021 leo ni 2023😕

Kama Taifa tumepigwa na kitu kizito😭
 
Maintenance ya tangu 2021 na plans kibao kumbe hakuna kilichofanywa na makamba na maharage leo samia anarudia kile kile kweli watanzania tumedharaulika tumegeuzwa watoto wa kudanganyiwa pipi😩
Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae nikagundua una biashara ndani ya TTCL na kwa sababu kampuni ile inafanya vizuri na ndio maana imemuwezesha kijana yule nae kufanya vizuri nikasema hapana, usiende mahali ambapo una biashara, itakuwa conflict of interest. Nikaona sasa nikupe u postamasta mkuu "Alisema Rais Samia".
 
Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
Hii kauli aliisema January Makamba soon baada ya kukabidhiwa Wizara. Akakata umeme weee na kusema wanarekebisha mitambo kwani haikufanyiwa ukarabati muda mrefu.

Rais anapotuambia haya ambayo yalishanenwa muda kitambo maana yake ni kwamba amefeli. Serikali inafeli kwenye umeme.

Sijajua kama wanamdanganya au anashiriki jambo anallijua.

Mungu atussidie kwa kweli
 
Akili zilezile za Makamba.

Alichofanya ninkukopi na kupest .

Ni haki yake ilikua Kusoma Kwa kuunga unga.
Kwahiyo Toka ameingia mwaka 2021, 2022, ni holaaaaaaaa ,mitambo haikuzimwa kufanyiwa maboresho.
Mshangaooooooooooooooo😩

Hivi katuonaje lakini kutudanganya mchana peupe hivyo

Habari za mitambo kufanyia service leo jamani oooooh nalia na nchi yangu
 
Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae nikagundua una biashara ndani ya TTCL na kwa sababu kampuni ile inafanya vizuri na ndio maana imemuwezesha kijana yule nae kufanya vizuri nikasema hapana, usiende mahali ambapo una biashara, itakuwa conflict of interest. Nikaona sasa nikupe u postamasta mkuu "Alisema Rais Samia".
Ng'ata kisha puliiizaaa papoe
 
Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
Wazanzibari husema mtu mzima haambiwi muongo, ila huyu Bibi ni muongo,
wakati alipomweka Januari kwenye nishati si alianza kwa kudai anafanya service na ndio chanzo cha umeme kusumbua alipoingia tu January na akasema awamu ya 5 na waziri Kalemani hawakuwa wakifanya service?
Leo tena anadai issue ya kufanya service?
Kwani mitambo na vifaa vya TANESCO hufanyiwa service kila baada ya muda gani?
Huyu bibi wa mipasho kiatu hakimtoshi
 
😭😭😭😭 bi mipasho hatoshi sijui tuliingiaje huu mkenge nailaumu Katiba 😕
 
Wazanzibari husema mtu mzima haambiwi muongo, ila huyu Bibi ni muongo,
wakati alipomweka Januari kwenye nishati si alianza kwa kudai anafanya service na ndio chanzo cha umeme kusumbua alipoingia tu January na akasema awamu ya 5 na waziri Kalemani hawakuwa wakifanya service?
Leo tena anadai issue ya kufanya service?
Kwani mitambo na vifaa vya TANESCO hufanyiwa service kila baada ya muda gani?
Huyu bibi wa mipasho kiatu hakimtoshi
Mungu ameondoa kauli vinywsni mwao.

Shetani siku zote huambukiza uongo kwa wafuasi wake
 
Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
🤣🤣🤣🤣🤣, toka 2021 hadi sasa tunaingia 2024 bado tu kisingizio ndio hicho?
 
Back
Top Bottom