PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Mzee wa kumbukumbu
Hadi mwezi wa 4 mwakani wakati wa masikaLabda tungeambiwa ukarabati utachukua miezi mingapi.
Aachie ngazi kama mambo yamemshinda yani Katia aibu Leo kugongelea mambo ya maintanance sijui service makamba na maharage walikuwa wanafanya nini kipindi CHOTE CHA MIAKA miwili?Ndugu zangu urais ni kazi ngumu. Ndiyo maana anko Magu aliamua kutumia maguvu tu maana katika nchi zetu hizi bila maguvu mambo aisee hayaendi. Huyu mama mpaka namwonea huruma sometimes. Hata watu wake wa karibu hawamsaidii masikini. Mungu na Amsaidie 🙏🏿
Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
Naona hapa mama ameingia kwenye mfumo wa 4-4-2 na ameingia kweli kichwa kichwa tena,baada ya iyo miezi 6 kwisha aliyompa uyo mkurugenzi mpya Tanesco atabadili tena mfumo na kwenda na mfumo wa kujilinda 3-5-2 na hapo ndio uchaguzi utakuwa umewadiaAkizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
Yaani maskini leo sijui kaamkia upande gani kuja kudanganya Taifa hili ndio tatizo la kuwa mswahili kaja kutupasha tunavyomshangaa na hiyo teua tengua yake isiyoeleweka bila kujua anaharibu zaidi😩Bibi muongo sana huyu
Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae nikagundua una biashara ndani ya TTCL na kwa sababu kampuni ile inafanya vizuri na ndio maana imemuwezesha kijana yule nae kufanya vizuri nikasema hapana, usiende mahali ambapo una biashara, itakuwa conflict of interest. Nikaona sasa nikupe u postamasta mkuu "Alisema Rais Samia".Maintenance ya tangu 2021 na plans kibao kumbe hakuna kilichofanywa na makamba na maharage leo samia anarudia kile kile kweli watanzania tumedharaulika tumegeuzwa watoto wa kudanganyiwa pipi😩
Wanauhakika wa kuibaWanasema hivyo kwasababu wanajiamini na bado mtawapigia kura tu.
Hii kauli aliisema January Makamba soon baada ya kukabidhiwa Wizara. Akakata umeme weee na kusema wanarekebisha mitambo kwani haikufanyiwa ukarabati muda mrefu.Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
Mshangaooooooooooooooo😩Akili zilezile za Makamba.
Alichofanya ninkukopi na kupest .
Ni haki yake ilikua Kusoma Kwa kuunga unga.
Kwahiyo Toka ameingia mwaka 2021, 2022, ni holaaaaaaaa ,mitambo haikuzimwa kufanyiwa maboresho.
Ng'ata kisha puliiizaaa papoeMaharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae nikagundua una biashara ndani ya TTCL na kwa sababu kampuni ile inafanya vizuri na ndio maana imemuwezesha kijana yule nae kufanya vizuri nikasema hapana, usiende mahali ambapo una biashara, itakuwa conflict of interest. Nikaona sasa nikupe u postamasta mkuu "Alisema Rais Samia".
Wazanzibari husema mtu mzima haambiwi muongo, ila huyu Bibi ni muongo,Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
😭😭😭😭 bi mipasho hatoshi sijui tuliingiaje huu mkenge nailaumu Katiba 😕Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae nikagundua una biashara ndani ya TTCL na kwa sababu kampuni ile inafanya vizuri na ndio maana imemuwezesha kijana yule nae kufanya vizuri nikasema hapana, usiende mahali ambapo una biashara, itakuwa conflict of interest. Nikaona sasa nikupe u postamasta mkuu "Alisema Rais Samia".
Tatizo ni CCMMshangaooooooooooooooo😩
Hivi katuonaje lakini kutudanganya mchana peupe hivyo
Habari za mitambo kufanyia service leo jamani oooooh nalia na nchi yangu
Mungu ameondoa kauli vinywsni mwao.Wazanzibari husema mtu mzima haambiwi muongo, ila huyu Bibi ni muongo,
wakati alipomweka Januari kwenye nishati si alianza kwa kudai anafanya service na ndio chanzo cha umeme kusumbua alipoingia tu January na akasema awamu ya 5 na waziri Kalemani hawakuwa wakifanya service?
Leo tena anadai issue ya kufanya service?
Kwani mitambo na vifaa vya TANESCO hufanyiwa service kila baada ya muda gani?
Huyu bibi wa mipasho kiatu hakimtoshi
🤣🤣🤣🤣🤣, toka 2021 hadi sasa tunaingia 2024 bado tu kisingizio ndio hicho?Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme