Rais Samia: Tuna ‘crisis’ ya umeme, tunafanya ukarabati wa mashine

Rais Samia: Tuna ‘crisis’ ya umeme, tunafanya ukarabati wa mashine

🐒🐒🐒
902309242102.jpg
 
View attachment 2762890
Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
Sasa kwanini umemtoa Maharagwe ya Mbeya? Kwanini Waziri Mkuu na Biteko walimfukuza Maharagwe kikaoni?
Mnatuona watoto siyo?
 
Naunga mkono hoja [emoji106] hata yule jamaa wa kupaka dawa kichwani aliongea uwongo msikitini kuwa jiwe hajaondoka duniani kumbe alishasepa mda tu [emoji23][emoji23] viongozi wa kibongo ni matapeli na ni hovyo bin wachumia matumbo yao
Wanatuona wajinga sana hawa viongozi. Ujinga mwingi sana wanaongea.
 
Ndugu rais, kwakuwa ulisema umeweka vijana wawe wanapitia mrejesho kutoka mitandaoni ebu nikushauri kitu hapahapa.

Kwamba ili uujue ukweli kama kiongozi jitahidi kuweka mtandao wa taarifa nje ya mfumo rasmi, yaani non commissioned information sharing. Kupitia mfumo huu utakuwa na machinery ya kukuletea report direct mikononi mwako na kisha ujipe muda kuzipitia wewe mwenyewe binafsi na kisha uwape hao commissioned wafanye followup ya kukupa comparison ndipo utoe matamko kuhusu suala husika.

Kwa maelezo zaidi tukutane inbox. Ahsante.
 
View attachment 2762890
Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
ulipomtoa dr kailemani pale wizarani ukamweka MweziWaKwanza kwa mbwembewe na mikogo mingi sana alisema hivyo hivyo, kwamba miundombinu ya umeme ni mikuukuu na nichakavu na wanaanza kuihuisha.

Sasa nauliza MweziWakwanza hakufanya huisho lolote la miundombinu hiyo upande wowote?
Kwahiyo zile zilikua mbwembwe tu na alitwambia umeme upo wa kutosha mpaka vijijini?

Mama, MweziWaKwanza anatuchukuliaje lakini?
na mbona unamkumbatia sana na wakati ni mweupe na mwepesi tu?
wizara imemshinda ataweza hapo ulipoketi wewe?
au unaona aibu kwa mzee wake lakini pia kwa mzee wa ari mpya, nguvu zaidi, na kasi zaidi?
 
Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
This is insulting our intelligence kwahio mpaka kesho hatuna plan B na tutaendelea kuwa na mapungufu kila pale ambapo so called maintenance zinafanyika ?

Huenda mimi sio mwelewa lakini this shows lack of planning (hata kama anachosema ni kweli); Sababu walijua since day one kwamba maintenance zitafanyika na walijitayarisha vipi wakati wanazifanya ? Ni pesa ngani tumeshatumia katika Maintenance alizosema Makamba kwamba zikiisha na Mgao utaisha ? Ule usukaji mpya wa Makamba aliosema uliochukua mapesa ya kutosha umeishia wapi ?
 
Back
Top Bottom