Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

Ninaijua vizuri sana, na usidhani nilipoandika hivyo sikuitambua hali hiyo; lakini husikii lugha anayotumia Samia ikitumiwa na Waziri Mkuu wa India. Huwezi hata mara moja akizungumza namna hiyo.
Hata hivyo, usisahau kuwa India imo kati ya nchi za G20, au hujui maana yake ni nini?

Unasubiri India wakakope kujenga vituo vya mabasi? Hivi unaelewa unachokiandika hapa wewe? Ni wapi nilipoandika kwamba nchi "hazikopi", lakini kukopa kwenda kujenga mashimo ya choo?

Wewe nilishakueleza toka mwanzo, hilo jina ulilojipajchika haliendani kamwe na akili yako.
 
kila mtu na mtindo wake wa uongozi jamani. Magufuli namna yake SAMIA NAMNA YAKE
 
Wewe msukule wa mbowe, mikopo unapinga na tozo unapinga.

Unataka nini ?

Atolewe makengeza jela aje kukupelekea moto ?
Ninakusikitikia sana wewe 'Mzee", kwa sababu nilidhani unayo akili ya kutosha kichwani, kumbe umebeba kopo lililojazwa kamasi juu ya shingo yako.
 
Lakini hivi kijenga sten yq billion 20 tunashindwa hadi tukqombe mkopo wakati makusanyo ni trillion 1.6 mwa mwezi
Kama siyo mchumi au Mhasibu huwezi kuelewa. Kuna kitu kinaitwa trade off kati ya borrowing and equity, opportunity cost ya investment etc
 
…..eti yupo ofisini anapitia mafaili…ahhaaaaaa!
Awamu ya 5 chini ya Mwendazake ilikuwa ni ya UWONGO kwa kila kitu. Takwimu za uchumi alikuwa anasema unakuwa kwa 7.8% wakati ni 4.2%. Wenzie COVID-19 wanaosema ipo, Magufuli anakataa pamoja na kwamba Watu wake wa karibu kama Mahiga, Ndasa, Kijazi walikufa kwa ugonjwa huo. Yale yalikuwa maisha ya UWONGO, Wizi, Kejeli, Hasira, Chuki, Mauaji na Matusi tu. Tumepitia kipindi kibaya
 
Kikubwa tuliona zikifanya kazi na hatukusikia masharti ya ajabu.
 
Magufuli alikuwa MWONGO na akasababisha hata wa chini yake kuwa waongo. Na hata alipokufa tuliendelea kuambiwa uwongo na Majaliwa kuwa yuko ofsini anapitia mafaili.

Rais SSH endelea kuwa mkweli, penye hatuna pesa ongeza tozo au kakope, period

What happened to our self reliance philosophy? Nchi omba omba haiwezi kuheshimiwa; we should do away with the mkwere dependency syndrome!!!
 
Angeoandaje Ndege wakati alikuwa anaishi kwa ka betri ya kumsaidia kuongeza kasi ya moyo?

Angeongea lugha gani wakati wenzie wanapiga English? Ile broken ndiyo ulitaka akatudhalilishe majuu? Yule alikuwa wa hapahapa tu
 
Wasukuma mnajidhalilisha sana, sidhan kama kuna mtu timamu kwa kizazi kijacho atao sukuma gang member.
 
JPM alikudanganya nini hebu fafanua kidogo.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Alisema atauza korosho kupitia TPDF Kilo moja kwa Tsh 3,000 na akaaamuru wakulima wasiuze kwa Kangomba na makampuni ya Wahindi.

Amekufa kuna watu mpaka leo hawajalipwa kuanzia mwaka 2018. Badala ya kupeleka sampuli za damu kwenye PCR machine, yeye alipeleka mapapai na oili chafu. Sasa alitegemea anamdanganya nani? Ndiyo maana Nan COVID 19 ikamswaga na wapambe wake kina Kijazi
 
Omba omba katika ubora wetu,

Nchi ina madini lakini inaomba fedha za kujenga stendi.
 
Kama tuliweza kula na kunywa chini ya shetani sidhan kama kuna gumu lolote litatuweza. Hata wamweke kobe kuongoza hatuna shida. If you managed to survive under Jiwe then nothing else can defeat you.
 
Acha akili za utotoni kwa umri huo mpaka umeingia JF.

Ulisikia au kuona wapi Rais wa nchi anafariki mf. 08:45hrs na 09:00hrs wanatangaza msiba?.
TODAYS angalia kama unazo akili au kichwa chako kina kamasi. Magufuli alikufa tarehe 9/ 03/ 21 ila alitangazwa amekufa tarehe 17/ 03/ 21.

Mnabisha ujinga tu
 
Wewe mwenye facts inajuwa nini kuhusu treasury ya Tanzania ambayo Waziri wa Fedha ameshindwa kutenga fedha kwa ajili ya project hiyo? Wewe inajuwa priority ya Nchi inakwwnda wapi kwa sasa? Au unaandika tu ili ufurahishe baraza

Kama rate of return ni favourable ni bora uchukue mkopo leo kuliko kuwasubirisha wananchi wako hadi bajeti ya miaka 2 mbele.
 
Wewe kweli chizi, hivi Mama akisema kuanzia leo siajiri watumishi wapya wala kulipa mafao, na ukiwa na pesa nyingi bank nakupora, hakuna mtu yeyote kupanda daraja unadhani anashindwa kufanya hayo ya mwendakuzimu? Let your head do/perform its duties and not the other part.
 
Jinga kabisa nyie, hakuna siku mtajitegemea hata kidogo na bado mtaomba za kujenga vyoo.
Mbona za vyoo tayari zilikwisha ombwa muda mrefu? Au hujawahi kuona vyoo vilivyojengwa kwa msaada wa USAID?
 
Wahenga walisema kupanga ni kuchagua:
Tulipotakiwa kukopa(wakati tunanunua madege)sisi tulinunua kwa " cash" sasa acha tukope kujenga mashimo ya CHOO
na stendi zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…