Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

Tanzania tuna wasomi mbumbumbu ...unaweza kuangalia tofauti tu ya bajeti ya serikali katika vipindi tofauti utajua pia kwanini kiwango cha kukopa kimeongezeka..nafikiri tunatakiwa kupima ufanisi wa mikopo hasa kwenye utekelezaji wa bajeti ili kuona kama mkopo ulifanya kazi kulingana na malengo yake
 
Acha akili za utotoni kwa umri huo mpaka umeingia JF.

Ulisikia au kuona wapi Rais wa nchi anafariki mf. 08:45hrs na 09:00hrs wanatangaza msiba?.
Ndio waseme yupo anapiga kazi?
 
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"

_______________________________________________

Magufuli anabiringika kaburini...

Tulikuwa tunaambiwa tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri... na kama ni kukopwa hela wanazileta wenyewe, hatuombi...

Sasa tutatembea vichwa chini mbele ya dunia...

Mpaka stendi tunaomba hela?

Hivi stendi ya Mbezi tulipata wapi hela ?

Nimesikitika kupita maelezo.... tunarudi kule kule kwenye kuishi kwa kuomba omba kwa enzi za bwana yule wa Bagamoyo...

Hapa Maza kazingua kinoma 🤣🤣..Kukopa sio shida shida ni Kukopa kwa ajili ya kujenga stendi..

Na bahati mbaya mastendi yoote huko mijini ni mamikopo ya WB sijawahi waelewa serikali kukopa.kujenga stendi na masoko
 
Sisi huku pwagu na pwaguzi wa uswahilini kuomba ndo jadi yetu, tunaomba hadi chumvi na kiberiti daily.......
 
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"

____________________________________________

Magufuli anabiringika kaburini.

Tulikuwa tunaambiwa tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri, na kama ni kukopwa hela wanazileta wenyewe, hatuombi.

Sasa tutatembea vichwa chini mbele ya dunia.

Mpaka stendi tunaomba hela?

Hivi stendi ya Mbezi tulipata wapi hela?

Nimesikitika kupita maelezo. Tunarudi kule kule kwenye kuishi kwa kuomba omba kwa enzi za bwana yule wa Bagamoyo.

Mkuu JPM ni hayati, hana uhai tena. Ni kama vile unafanya kufuru kumuongelea mtu ambaye hawezi kuongea wala kujitetea kwa lolote lile.
 
Lakini hivi kijenga sten yq billion 20 tunashindwa hadi tukqombe mkopo wakati makusanyo ni trillion 1.6 mwa mwezi
Kama ingekuwa ni awamu ya 5 mwamba JPM angetoa mfukoni mwake bila shida.
Kwani billion 20/= kitu gani kwa mtu aliyekuwa na mshahara wa Tshs 9m/= kwa mwezi?
 
Hapa Maza kazingua kinoma 🤣🤣..Kukopa sio shida shida ni Kukopa kwa ajili ya kujenga stendi..

Na bahati mbaya mastendi yoote huko mijini ni mamikopo ya WB sijawahi waelewa serikali kukopa.kujenga stendi na masoko
JPM aliharibu kabisa vichwa vya watanzania. Aliwajaza viburi visivyo na maana, yeye mwenyewe alitegemea misaada huku akiongea kama vile ni pesa imetoka mfukoni mwake mwenyewe!.
Pale Ubungo ni pesa ya World Bank na bado ziara zake nyingi zilikuwa na wachina pamoja na jamaa wa EU, itakuwa ngumu sana kuondoka na mentality hii mbovu ya 'maskini jeuri'.
 
Lakini hivi kijenga sten yq billion 20 tunashindwa hadi tukqombe mkopo wakati makusanyo ni trillion 1.6 mwa mwezi
Kama ingekuwa ni awamu ya 5 mwamba JPM angetoa mfukoni mwake bila shida.
Kwani billion 20/= ni kitu gani kwa mtu aliyekuwa na mshahara wa Tshs 9m/= kwa mwezi?
 
Magufuli anabiringika kaburini.

Tulikuwa tunaambiwa tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri, na kama ni kukopwa hela wanazileta wenyewe, hatuombi.

Sasa tutatembea vichwa chini mbele ya dunia.

Mpaka stendi tunaomba hela?

Hivi stendi ya Mbezi tulipata wapi hela?

Nimesikitika kupita maelezo. Tunarudi kule kule kwenye kuishi kwa kuomba omba kwa enzi za bwana yule wa Bagamoyo.
Magufuli alipenda sana watu aina yako kwa sababu alijua akili zenu hazina akili.

Magufuli alikopa sana kuliko Rais yeyote wa Taifa hili, toka tupate Uhuru..

Kila alichofanya Magufuli iwe stendi , Kiwanja cha Ndege Chato au chochote kule ni pesa ya mkopo.
Tatizo la Magufuli alikua sio mkweli nimuongo na mlaghai.
Majaliwa amerithi tabia za uongo uongo na ulaghai toka kwa Magufuli.
 
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"

____________________________________________

Magufuli anabiringika kaburini.

Tulikuwa tunaambiwa tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri, na kama ni kukopwa hela wanazileta wenyewe, hatuombi.

Sasa tutatembea vichwa chini mbele ya dunia.

Mpaka stendi tunaomba hela?

Hivi stendi ya Mbezi tulipata wapi hela?

Nimesikitika kupita maelezo. Tunarudi kule kule kwenye kuishi kwa kuomba omba kwa enzi za bwana yule wa Bagamoyo.

Iko Fact ya Kisaikolojia kuwa Tunazaliwa Sote na Akili lakini Akili hizo ni Elastic in nature. Activeness yake inategemea imekuzwa Vipi. Kama unalelewa katika mazingira ya kuamini wewe huwezi mpaka wengine wakusaidie utabakia hivyo hivyo na hutaweza kweli. Kuna watu Elimu ya Kikoloni imewafikisha hapo walipo leo. Makovu ya kikoloni yapo mpaka kwenye MEDULA OBLANGATA. Kumbukumbu zao ni kwamba hawawezi.

Hivi hao tunaowapelekea proposal za kuomba kujenga Stendi wao walimuomba nani walipojenga za kwao? Akili za kuombaomba Ni kumudogosha Mungu kuwa alituumba sisi Watanzania bila Rasilimali za kutosha ili kuishi. Na hii Ni KUFURU.Kumpa Mungu sifa asiyokuwa nayo!

Pengo kati ya Raisi Magufuli na Samia liko hapo. Magufuli aliamini Mungu wetu hana upendeleo hata awakirimie Wazungu kila kitu halafu sisi ATULOFAZE na ndiyo maana kila alipoang'aza macho aliona Rasilimali na Fursa kibao za Kuijenga Nchi yetu.
 
Magufuli alikuwa MWONGO na akasababisha hata wa chini yake kuwa waongo. Na hata alipokufa tuliendelea kuambiwa uwongo na Majaliwa kuwa yuko ofsini anapitia mafaili.

Rais SSH endelea kuwa mkweli, penye hatuna pesa ongeza tozo au kakope, period
Kwa hiyo, kusema kuwa tunahitaji pesa za Mikopo ili tujenge stendi ndio kusema ukweli. Inaelekea hujui tofauti kati ya FACT and TRUTH. Kuhitaji Pesa ya msaada wa kujenga stendi Ni FACT lakini is not a necessary TRUTH kuwa Bila msaada huwezi kujenga Stendi. Elimu isipokusaidia kutafakari mambo na kuyaona katika muktadha Taandavu unakuwa unabakia kama Dodoki tu lilivyofyonza Maji na linakuwa haliwezi kufanya lolote.
 
Magufuli alikuwa MWONGO na akasababisha hata wa chini yake kuwa waongo. Na hata alipokufa tuliendelea kuambiwa uwongo na Majaliwa kuwa yuko ofsini anapitia mafaili.

Rais SSH endelea kuwa mkweli, penye hatuna pesa ongeza tozo au kakope, period
Jinga kabisa nyie, hakuna siku mtajitegemea hata kidogo na bado mtaomba za kujenga vyoo.
 
Na wewe ni yatima au mjane wa Sukuma gang?

Mama Samia ni yeye mpaka 2040 elewa hili kwanza ili usipate kisukari bure.
Mbona unajadili kishamba? Kwa hiyo,akitawala mpaka 2040 ndio utapata uwezo wa kujenga Stendi bila kuomba?
 
Magufuli akizidundua stendi ya Mbezi alisema: Tanzania ni Taifa kubwa, msitembee wanyonge, tunaweza haya mambo kwa kujitegemea, Tanzania ni Taifa lenye uwezo, bilioni 50 za stendi is nothing...

akasema, miaka minne wameomba hela za barabara ya Mbezi ya njia nne, "wakaturingia... tukaamua kujenga wenyewe ya njia nane."

very proud son of Africa!

Kunguni mkubwa wewe kwani wewe hutaviringika kaburini mwana haramu mkubwa? Dodoma stand Nani kajenga, mbez Luis nan kajenga, Alienda kwa awamu, JPM ametaka kuwafufulia reli machame na wenzake akaanza kuhujum miundombinu , stand kila mkoa zingejengwa
 
Kama hoja yako ni sahihi, basi wa kulaumiwa ni Watanzania (wewe pia) na vyombo vya habari kukubali kulishwa matango pori na mtu mmoja tu. Kama ni hivyo, basi Magufuli alikuwa mwamba na "genious".

Lakini kwangu mimi na wenye mawazo kama yangu, Magufuli alikuwa mkweli, alijiamini na mwenye "utashi wa kisiasa" (uzalendo) wa hali ya juu, kiasi alifanikiwa kuwafanya WaTz kujiamini. Ushahidi ni maendeleo ya nchi, katika sekta zote (huduma za jamii na miradi ya kimkakati), kwa kipindi kifupi, bila kutoka nje ya nchi kutembeza bakuli la omba omba.
Una uhakika kuwa hakutembeza bakuli? Nini kiliongeza deni la taifa?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom