Rais Samia: Tundu Lissu ni mdogo wangu tu, mimi ni Rais na ni dada yake

Yaani ukitaka kuthibitisha kuwa watu Ni Misukule.

Kumbe masuala ya TOZO, UFISADI, RUSHWA, UKOSEFU WA AJIRA, siyo TATIZO Kabisa.

Tatizo Ni Mbowe, Lissu, Lema na Heche hawapewi CHAKULA wanavyotaka.

Ukiwapa wao hutasikia kelele.
 
Suala la Mbowe ni la kisheria zaidi. Rais asiingizwe kwenye mambo yanayohusu mahakama na sheria.

Endapo kuna ushahidi wa kutosha na wa haki kabisa (ambao haujaonekana mpaka sasa), basi Mbowe awajibike na uhalifu kama upo.

Lakini kama hakuna, ni vyema mahakama ikamwachia na kuiamuru serikali imlipe fidia, zikiwepo zile alizoharibiwa mali zake na wale wendawazimu wa awamu ya tano.
 
Kabisa. Rais asiingilie mihimili mingine especially Mahakama.
 
Kuna mtu nime mquote mkuu sio wewe.

Halafu kuhusu kuchaguliwa rais mbona ndio ipo hivyo, ccm wakimchagua mgombea wao wa rais ndio teyari rais keshapatikana hapo hivyo miaka yote ccm ndio hutuchagulia rais kwa niaba ya watanzania wote.
 
Nimeipenda sana hii attitude ya Rais Mama Samia, sana. Na huu ndio ubinadamu tunaohitaji kama taifa. Kutofautiana kisiasa siyo uadui. Kasema vizuri sana mama, nimemwelewa kuwa kwenye ubinadamu tuko pamoja, kwenye siasa tuko kazini kila mmoja aje na itikadi yake lakini undugu uendelee. Asante mama.
 
Huyu ndie alikuwa chanzo cha kigogo na wengineo.

Huyu alikuwa kikulacho ki nguoni mwako!
 
Kuna watu wanutumia unyeyekevu wa Rais kufanya mambo yao.
 
Katiba sasa
 
Safi sanaa mam
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…