#COVID19 Rais Samia: Tupo hatua za mwisho za kuagiza chanjo

Kwa hiyo mkuu unaona ni bora wote wachanje? Hapana nakupinga kwa hilo..
Tuheshimu maamuzi ya kila Mtu asee.
N.b mbeleni chanjo itakua moja na kila Mtu itamlazimu achanje kwa lazima. Sio leo wala kesho.. but mbeleni
Unamaanisha kutimia kwa unabii wa alama ya mnyama......
 
Ingekua ukichoma hii chanjo haufi milele mimi ningechoma. Ila kama nitachoma na kufa kuko pale hamna haja na sioni haja ya kuishadadia
 
Ingekua ukichoma hii chanjo haufi milele mimi ningechoma. Ila kama nitachoma na kufa kuko pale hamna haja na sioni haja ya kuishadadia
Hahahaha......mkuu wewe unataka chanjo ya kukukinga na kifo, kuna wademkaji humu wanajua wakichanja korona na kufa bye bye.....
 
Walete haraka ,kazi iendelee!
 
You are arguing with stones,,hautashinda
 
Eti papai lina corona!! Hivi ukichukua sample ya mkojo ukaweka kwenye kipimio cha malaria unategemea majibu yatakuwaje? Kwanza kipimio chenyewe unakuwa umekichanganya kabisa! Jiwe sijui chemistry yake alisomea wapi.
Ukiona umeweka maji kwenye engene ya petrol na imewaka, badala ya kufurahi kama una akili lazima uhamaki.

Lakini nyumbu siku zote ni nyumbu tu nyinyi.

Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini Gwajima anatafuna kondoo wake, tena anajirekodi? Wewe unayedanganywa na tapeli kama yule na mimi ni nani mjinga?
 
Chanjo siku zote ni hiari, kinachohitajika ni elimu kwa umma, kampeni za kuhamasisha wananchi kuipokea chanjo, kinachohitajika ni majority wawe wamechanjwa ili kufikia "herd immunity"
Sasa hao majority utawapataje kama wengi bado hawaitaki hiyo chanjo?
 
Kwa hiyo unataka kumlazimisha nani? mbw.a wee....aliyekwambia hazina madhara ni nani.....pumbav.
Nyie ndio tatizo la hii nchi, huu ujingao wenu utawadhuru wengine.
 
Atleast Uingereza tumeona kwenye mashindano ya Euro watu wamejaa viwanjani, hii inaonesha chanjo imefanya kazi.
 
pls jaribu kuelewa mambo, hakuna mtu anaweza kukulazimisha uende hosipitali ukiwa mgojwa kaa umetimia miaka 18,na ndio hii chanjo iko, sababu ya hii corona kuenea kwa kasi ni kwa kuwa watu wasiopata chajo ndio rahisi kusika corona na kufa
Simply unamaanisha wasiopata chanjo wapo tayari kufa kirahisi.
 
Hamjibu swali langu la mwanzo, kama ni hiari vipi ikitokea wengi hawajapata hiyo chanjo, herd immunity itafanyaje kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…