Mbona unatoka nje ya mada tena, naona hujui hata herd immunity ni kitu gani.Aliyekwambia herd immunity inategemea chanjo ni nani? ni asilimia ngapi ya watu wamewahi kuchanja malaria.....nenda kawapime kama hawana hiyo kinga ya malaria, tatizo mnashadadia mambo ambayo hamna uelewa hata tone....
Haya wale panya wa majaribio someni hiyo fomu, serikali yenu tayari imejivua kuhusika kwenye madhara yoyote yatakayojitokeza. Hii inamaanisha hiyo chanjo bado ipo kwenye hatua za majaribio, kwa sababu chanjo ambazo zimepata final approval hutakiwi kujaza consent form. Makampuni ya chanjo yanakwepa kulipa fidia wahusika watakaojitolea kwenye majaribio ya chanjo, yaani kinachofanyika hapa ni uhuni mtupu....
Ndio maana kule mwanzo nikasema bora hii kitu iwe lazima, tusipoteze muda wakati Corona bado inatumaliza.Ujinga ni mwingi kwa sababu walidanganywa na Magufuli. Ikitolewa elimu wengi watabadilika. Siku zote sula la matibabu linatakiwa liwe ni hiari. Ila suala la lazima linaweza kutumika iwapo itaonekana kuna ulazima. Imagine nchi nyingine karibu zote zichanje ila Tanzania iwe kikwazo na kusababisha virus mutation kushika kasi. Hapo kutakuwa na ulazima wa kuingilia. Hata sasa hivi ugonjwa kama TB mtu akionyesha kutoka kufuata matibabu kwa hiari na akawa tishio kwa wengine sheria inaweza kutumika kumlazimisha atibiwe.
Hii itakuwa chanjo ya Kichina hii au ile ya CUBAHaya wale panya wa majaribio someni hiyo fomu, serikali yenu tayari imejivua kuhusika kwenye madhara yoyote yatakayojitokeza. Hii inamaanisha hiyo chanjo bado ipo kwenye hatua za majaribio, kwa sababu chanjo ambazo zimepata final approval hutakiwi kujaza consent form. Makampuni ya chanjo yanakwepa kulipa fidia wahusika watakaojitolea kwenye majaribio ya chanjo, yaani kinachofanyika hapa ni uhuni mtupu....
Tuambie immunity ya malaria ni ipi, mzee wa herd immunity......Mbona unatoka nje ya mada tena, naona hujui hata herd immunity ni kitu gani.
Unazidi kutoka nje ya mada, wacha ujuaji dogo.Tuambie immunity ya malaria ni ipi, mzee wa herd immunity......
Kuna uwezekano serikali isihusike na madhara yatakayotokana na matumizi ya chanjo hiyo. Kwa hiyo, uvumilie kidogo zije kikubwa upunguze 'mshawasha wa mambo'!Ni ipi hasa inayoletwa Pfizer,Johnson&Johnson au Moderna?
Au ni Ile Abdala ya Cuba ama bado ni Siri.
Badala ya kuendelea na kauli kama,"Itakuwa hiari" ni vyema elimu itolewe kuhamasisha watu waone umuhimu wa hiyo chanjo.
Nendeni mkapiwe chata la 666Good, tuache maigizo kwenye afya za watu, mara sijui mapapai, mbuzi, kujifukiza, tangawizi, maembe na ujinga mwingine.
Unalialia nini sasa, peleka tackle ushindiliwe sindano ya sumu wambie wakupe na ya kunywa......unalilia herd immunity ya nini wakati umeshaji protect....Unazidi kutoka nje ya mada, wacha ujuaji dogo.
Kila sehemu unajaza hiyo fomu. Ni nchi zote. Hivi unajua hata unapoenda hospital kuna vigezo vyake unakuwa umekubalina navyo? Na fomu za kujaza ziko mbili. Ya kwanza inahusu hali ya afya yako kwa siku ile na kama umeshapata tena chanjo na mswali mengine ya allergy, na nyingine ni hiyo unayolalamikia.Haya wale panya wa majaribio someni hiyo fomu, serikali yenu tayari imejivua kuhusika kwenye madhara yoyote yatakayojitokeza. Hii inamaanisha hiyo chanjo bado ipo kwenye hatua za majaribio, kwa sababu chanjo ambazo zimepata final approval hutakiwi kujaza consent form. Makampuni ya chanjo yanakwepa kulipa fidia wahusika watakaojitolea kwenye majaribio ya chanjo, yaani kinachofanyika hapa ni uhuni mtupu....
Hahahaha....waanze kuchanja wao ili tuwe tunawa zoom namna chanjo inavyofanya kazi...Sawa Mama lao.. waanze kuchanjwa watu wa vyombo vya ulinzi na usalama kwanza.
Hiki kinachozungumziwa hapa ni sawa na "side effects" na dawa nyingi kwa kawaida zina "side effects" kwa watumiaji, ila sio watumiaji wote hudhuriwa na hizo "side effects", sasa hapa ni jukumu la serikali kuwaelewesha wananchi wake wajue hili jambo ili wengi wasiogope kuchanjwa.
Yaa, wajaze consent form ili majaribio yaanze......serikali imeshajitoa kuhusika na madhara yoyote.Kila sehemu unajaza hiyo fomu. Ni nchi zote. Hivi unajua hata unapoenda hospital kuna vigezo vyake unakuwa umekubalina navyo?
Sawa wao watujazie tu hizo consent forms, tusije kugeukana huko mbeleni......mara serikali hivi au vile, serikali haina pesa ya kulipa watu fidia. Huo mzigo makampuni ya chanjo yameukwepa, maana swala la kulipa fidia watu waliojitolea kushiriki kwenye majaribio ni la wale watafiti wanaofanya hayo majaribio...Hiki kinachozungumziwa hapa ni sawa na "side effects" na dawa nyingi kwa kawaida zina "side effects" kwa watumiaji, ila sio watumiaji wote hudhuriwa na hizo "side effects", sasa hapa ni jukumu la serikali kuwaelewesha wananchi wake wajue hili jambo ili wengi wasiogope kuchanjwa.
Mjaribio yalishapita.Yaa, wajaze consent form ili majaribio yaanze......serikali imeshajitoa kuhusika na madhara yoyote.
Sasa kama majaribio yalishapita chanjo ikapata final approval, consent forms ni za nini sasa........mfano ukienda hospitali ukapewa dawa za kumeza, huwa unajaza consent form.Mjaribio yalishapita.
Kwa sababu chanjo inaweza kuwa na side effects kwa baadhi ya watumiaji.Sasa kama majaribio yalishapita chanjo ikapata final approval, consent forms ni za nini sasa........mfano ukienda hospitali ukapewa dawa za kumeza, huwa unajaza consent form.
Hata kama hupewi consent forms hospitali, lakini bado hizo dawa unazopewa ukienda kuzitumia zinaweza kukudhuru.Sasa kama majaribio yalishapita chanjo ikapata final approval, consent forms ni za nini sasa........mfano ukienda hospitali ukapewa dawa za kumeza, huwa unajaza consent form.