myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Sawasawa..Niko hapa kijiweni kwetu....wadau wanasema wanazisubiri hizo chanjo kwa ARI KUBWA.......
Chanjo zije tuchomwe na tupambane na hilo gonjwa.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa..Niko hapa kijiweni kwetu....wadau wanasema wanazisubiri hizo chanjo kwa ARI KUBWA.......
Chanjo zije tuchomwe na tupambane na hilo gonjwa.....
Mkuu duniani karibu kila sehemu chanjo ni hiari. Ulaya, Marekani na Asia kote ni hiari. Uzuri ni kuwa nchi nyingi watu wana akili hivyo wamejitokeza kuchanja. Upinzani wa kijinga naona upo Bongo tu. Nadhani hata wanaopinga ni wajinga wachache tu. Utashangaa zikija watu watakavyozigombania.Najiuliza hii chanjo kutolewa kwa hiari hakuwezi kuleta madhara huko mbele ya safari kwa wale watakaokuwa hawajachanjwa kuendeleza maambukizi?
Sikumbuki kama na huko kwingine duniani hiyo chanjo ilitolewa kwa hiari, mfano tunaona nchi kama Uganda, japo wapo waliochanjwa lakini bado Corona inawasumbua.
Hii Corona tusipoichukulia serious tutakuwa tunajaza maji kwenye ndoo iliyotoboka, kama chanjo wanaziamini hazina madhara, kwanini zisiwe lazima, wengine wataelewa umuhimu wakishachanjwa.
Kwani kuna mtu alilazimishwa kutumia hizo tangawizi na malimao?Good, tuache maigizo kwenye afya za watu, mara sijui mapapai, mbuzi, kujifukiza, tangawizi, maembe na ujinga mwingine.
Haya mtaaalam wa chanjo naona uko kaini kutoa elimu 🤣 🤣 🤣. naona elimu yako imekukomboa kweli kweli.Tatizo kuna watu mnaichukulia chanjo kama dawa au tiba, kutoelimika ni mzigo mkubwa.......
Hata ingekuwa lazima bado ukitumia utaonekana mwendawazimu tu. Kuna mambo mengine common sense tu inakuambia huu ni ujinga. Mwendazake alikuwa amegeuza nchi ikawa kama ya mataahira watu wanakimbizana na malimao na tangawizi!Kwani kuna mtu alilazimishwa kutumia hizo tangawizi na malimao?
Kwa kuanzia ni vema iwe hiari. Tumegawanyika sana kwa hili.Najiuliza hii chanjo kutolewa kwa hiari hakuwezi kuleta madhara huko mbele ya safari kwa wale watakaokuwa hawajachanjwa kuendeleza maambukizi?
Sikumbuki kama na huko kwingine duniani hiyo chanjo ilitolewa kwa hiari, mfano tunaona nchi kama Uganda, japo wapo waliochanjwa lakini bado Corona inawasumbua.
Hii Corona tusipoichukulia serious tutakuwa tunajaza maji kwenye ndoo iliyotoboka, kama chanjo wanaziamini hazina madhara, kwanini zisiwe lazima, wengine wataelewa umuhimu wakishachanjwa.
Kuna watu wakishaugua ndo wanakimbilia kutafuta chanjo......sasa hiyo chanjo itakusaidia nini zaidi ya kuzidisha ugonjwa.Haya mtaaalam wa chanjo naona uko kaini kutoa elimu 🤣 🤣 🤣. naona elimu yako imekukomboa kweli kweli.
Unaweka ulokole kwenye mambo ambayo Mungu amekupa akili?Corona ni shetani anayetafuna mamia ya watu, na haitakaa iishe hii, inawachukia zaidi wanaotoka hadharani kuikemea na kuonyesha mpango wake muovu dhidi ya dunia ya leo
Wasema ukweli wote watatafunwa na corona kwa njia yoyote Ile, lengo lake ni ili ipate nguvu kote duniani na kupunguza idadi ya watu ili kuendana na rasilimali za dunia ya leo, Sure, Biblia ni kitabu cha ajabu sana haijapata kuwako kitabu kingine chote chenye kufunua mambo ya kabla ya miaka elfu
Hii korona, haitakaa iishe, itakuwa kama ukimwi na malalia, kirusi chenye uwezo wa kujibadirisha mara nyingi zaidi, Ni hatari na changamoto kwa wabobevu wa sayansi
Mungu Tulinde na uwape uwezo zaidi wanasayansi hasa wa Kiafrica ili tuondokane na mpango wa kibinadamu kwa nguvu za lusifa
Sawa kabisa mkuuChanjo siku zote ni hiari, kinachohitajika ni elimu kwa umma, kampeni za kuhamasisha wananchi kuipokea chanjo, kinachohitajika ni majority wawe wamechanjwa ili kufikia "herd immunity"
Najiuliza hii chanjo kutolewa kwa hiari hakuwezi kuleta madhara huko mbele ya safari kwa wale watakaokuwa hawajachanjwa kuendeleza maambukizi?
Sikumbuki kama na huko kwingine duniani hiyo chanjo ilitolewa kwa hiari, mfano tunaona nchi kama Uganda, japo wapo waliochanjwa lakini bado Corona inawasumbua.
Hii Corona tusipoichukulia serious tutakuwa tunajaza maji kwenye ndoo iliyotoboka, kama chanjo wanaziamini hazina madhara, kwanini zisiwe lazima, wengine wataelewa umuhimu wakishachanjwa.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali ipo katika hatua za mwisho za kuagiza chanjo ya COVID19
Amesema ni muhimu iwepo ili anayetaka kuchoma aipate kiurahisi kwa kuwa matum,izi ya chanjo hiyo itakuwa hiyari
Amesema hayo alipokuwa katika Kongamano la Kumbukumbu ya Rais wa Awamu ya tatu, Hayati Benjamin Mkapa
Ni kweli mimi ni mlokole, nakushauri, fanya yako na ufuate unachokiamini na siyo ninachokiamini mimi, utapotea vibaya mno mkuuUnaweka ulokole kwenye mambo ambayo Mungu amekupa akili?
Chanjo ya korona inaanza kufanya kazi baada ya angalau wiki mbili tangu upate chanjo ya kwanza na kinga bora zaidi inakuwa wiki mbili baada ya chanjo ya pili. Hizi ni zile zinazotakiwa chanjo mbili.Kuna watu wakishaugua ndo wanakimbilia kutafuta chanjo......sasa hiyo chanjo itakusaidia nini zaidi ya kuzidisha ugonjwa.
Kwani sasahivi kuna mtu amelazimishwa kutumia chanjo?Kwani kuna mtu alilazimishwa kutumia hizo tangawizi na malimao?
Unasali kwa Gwajima yule porn-star tapeli? Kma unasali huko utakuwa umepotea sana.Ni kweli mimi ni mlokole, nakushauri, fanya yako na ufuate unachokiamini na siyo ninachokiamini mimi, utapotea vibaya mno mkuu
Unasehemu gani ya maisha yangu wewe??Unasali kwa Gwajima yule porn-star tapeli? Kma unasali huko utakuwa umepotea sana.
Mzee mdiliko, hakuna cha chanjo mbili wala tatu.....hiyo ni biashara endelevu ya mabeberu, yaani itafikia watu wataishi kwa kutegemea chanjo ambayo utatakiwa kudunga kila baada ya miezi 6 na hapo ndo beberu atapiga pesa kwani hatatoa chanjo za msaada kama anavyofanya sasa. Na ataweza ku enforce hii kwa kuweka restrictions kwenye usafiri kama inavyotokea sasa kwenye ndege na ku access huduma mbalimbali za kijamii, that is a real trap.....Chanjo ya korona inaanza kufanya kazi baada ya angalau wiki mbili tangu upate chanjo ya kwanza na kinga bora zaidi inakuwa wiki mbili baada ya chanjo ya pili. Hizi ni zile zinazotakiwa chanjo mbili.