Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kufunguka kwa namna hii hapana kweli nalamba machungu kwa sana dah, wana wamezuka upyaa utulivu wala amani hakuna tena /au sijui wanamfanyia kusudi baya mother?Nchi imefunguka,lamba asali na wewe.
Bora ww miezi mitatu, yangu sasa ni mwaka 1Hata kuchelewa kwa hati sikuhizi ni kawaida, yaani hati inakaa zaidi ya Miezi Mitatu
Ipitie mara kwa mara la sivyo unaweza kuta na jina limebadilishwa ghafla JAMAA NI WAMEKUWA WAWEHU WEWE?Bora ww miezi mitatu, yangu sasa ni mwaka 1
But why?Rizione apelekewe kitonge atoe maoni yake tafadhali
Nakazia ✍️✍️✍️Waswahili tunasema usipoziba ufa utajenga ukuta, madudu ardhi yameshaanza upyaa ni hapaeleweki kabisa, nazungumza haya kwa kutahadharisha Serikali yetu tukufu watoto wa mjini wameanza yao, ni vuruguvurugu kwenye mafaili ya wamiliki, halali
More deep detail to follow with specific actual facts and whose responsible for such a dirty.
Toa ujinga hapa,badala uandike kitu chenye maana unaandika ushabiki papuchi stupidWaswahili tunasema usipoziba ufa utajenga ukuta, madudu ardhi yameshaanza upyaa ni hapaeleweki kabisa, nazungumza haya kwa kutahadharisha Serikali yetu tukufu watoto wa mjini wameanza yao, ni vuruguvurugu kwenye mafaili ya wamiliki, halali
More deep detail to follow with specific actual facts and whose responsible for such a dirty.
Magufuli aliweza Sana akiwa waziri akaja kuwa rais Kiko wapi..! sie tunaendelea kula mtori nyama tutazikuta chiniNakazia [emoji3578][emoji3578][emoji3578]
Lukuvi aliweza sana pale ardhi
Sasaje. Si 'nlimiambiani' mkanibishia. Endeleeni kuvituliza.Ardhi kuna toto yetu unarekebisha mambo tuliyokosa