Rais Samia turudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi hali imeanza kuwa mbaya

Waswahili tunasema usipoziba ufa utajenga ukuta, madudu ardhi yameshaanza upyaa ni hapaeleweki kabisa, nazungumza haya kwa kutahadharisha Serikali yetu tukufu watoto wa mjini wameanza yao, ni vuruguvurugu kwenye mafaili ya wamiliki, halali
More deep detail to follow with specific actual facts and whose responsible for such a dirty.
Wananchi hatuelewi kwanini Mama kamtema Lukuvi na kutuwekea garasa kama Ridhiwani na Mama Mabula.
 
Waswahili tunasema usipoziba ufa utajenga ukuta, madudu ardhi yameshaanza upyaa ni hapaeleweki kabisa, nazungumza haya kwa kutahadharisha Serikali yetu tukufu watoto wa mjini wameanza yao, ni vuruguvurugu kwenye mafaili ya wamiliki, halali
More deep detail to follow with specific actual facts and whose responsible for such a dirty.

Rais samia kumuondoa Lukuvi wizara ya Ardhi na kumuweka Riziwani kikwete umepoteza uelekeo.​

Hawezi rudishwa huyo atawazuia matajiri wao kupora ardhi, ndo maana wamemsogeza mtoto wa mlamba asali jirani. Washawekwa mfukoni hawana tena ujanja wa kufurukuta
 
Waswahili tunasema usipoziba ufa utajenga ukuta, madudu ardhi yameshaanza upyaa ni hapaeleweki kabisa, nazungumza haya kwa kutahadharisha Serikali yetu tukufu watoto wa mjini wameanza yao, ni vuruguvurugu kwenye mafaili ya wamiliki, halali
More deep detail to follow with specific actual facts and whose responsible for such a dirty.
Tatizo ni mfumo mbovu uyo Lukuvi ataishi milele?
 
Ardhi yote ni Mali ya Serikali na Serikali kwa sasa ni mali ya 'Mr. Borntown'.
 
Utakuta nae kahimilikisha mashamba kibao na viwanja familia yote

Hakuna cha mzuri wala nini wanasiasa wote majizi
 
Za zamani si za sasaa...

Mambo yamebadilikaaa....

Imekula kwetuuu...

Imekula kwetuuu...

Wanaoufahamu huo wimbo, tujuane...
Inaumiza kweli but no way out tumekwisha lakini ni fedhea kwa mtawala, TUMEKWISHAAA!
 
Back
Top Bottom