Rais Samia turudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi hali imeanza kuwa mbaya

Wananchi hatuelewi kwanini Mama kamtema Lukuvi na kutuwekea garasa kama Ridhiwani na Mama Mabula.
 

Rais samia kumuondoa Lukuvi wizara ya Ardhi na kumuweka Riziwani kikwete umepoteza uelekeo.​

 
Hawezi rudishwa huyo atawazuia matajiri wao kupora ardhi, ndo maana wamemsogeza mtoto wa mlamba asali jirani. Washawekwa mfukoni hawana tena ujanja wa kufurukuta
 
Tatizo ni mfumo mbovu uyo Lukuvi ataishi milele?
 
Ardhi yote ni Mali ya Serikali na Serikali kwa sasa ni mali ya 'Mr. Borntown'.
 
Utakuta nae kahimilikisha mashamba kibao na viwanja familia yote

Hakuna cha mzuri wala nini wanasiasa wote majizi
 
Acha kulialia wewe, lamba asali ulale.
 
Za zamani si za sasaa...

Mambo yamebadilikaaa....

Imekula kwetuuu...


Imekula kwetuuu...

Wanaoufahamu huo wimbo, tujuane...
Inaumiza kweli but no way out tumekwisha lakini ni fedhea kwa mtawala, TUMEKWISHAAA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…