Waswahili tunasema usipoziba ufa utajenga ukuta, madudu ardhi yameshaanza upyaa ni hapaeleweki kabisa, nazungumza haya kwa kutahadharisha Serikali yetu tukufu watoto wa mjini wameanza yao, ni vuruguvurugu kwenye mafaili ya wamiliki, halali
More deep detail to follow with specific actual facts and whose responsible for such a dirty.
Tatizo ni mfumo mbovu uyo Lukuvi ataishi milele?
Yupo mwana wa mfalme RizWaswahili tunasema usipoziba ufa utajenga ukuta, madudu ardhi yameshaanza upyaa ni hapaeleweki kabisa, nazungumza haya kwa kutahadharisha Serikali yetu tukufu watoto wa mjini wameanza yao, ni vuruguvurugu kwenye mafaili ya wamiliki, halali
More deep detail to follow with specific actual facts and whose responsible for such a dirty.
Lukuvi ni suluhisho la muda huu ambao kuna mifumo mibovu.Tatizo ni mfumo mbovu uyo Lukuvi ataishi milele?
Mifumo ni mizuri tu tatizo maofisa wetu na madawati yao!Lukuvi ni suluhisho la muda huu ambao kuna mifumo mibovu.
Ili waboronge?Wapeni Muda
Ardhi panazidi kuoza, mm sio lukuvi ni mteja wao ninayeshuhudia CHANGES, uozo nimwingi "vijana wa jiji" wako pale wakisaidiana na wadau wa pale katika huharibu na kuzamisha jahazi "kinondoni desk" wajitafakari sana, Nasubiri wakamilishe ujinga fulani ili nitumie grunet kusawazisha au kumaliza Ugonjwa.Lukuvi unapojianzishia uzi
Huyu nanga ndivyo alivyo. Wala asikukere. Unajua kuna binadamu wengine akili zao zinawatosha kwenda msalani tu!Kijana maarifa yako na akili zako zote umezihamishia kwenye papuchi...,hatupingi akili zako binafsi.