PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Gwajima ni ukoo na kwahaya hajatendea haki ukoo husika, kiongozi unashambulia ukoo?
Yule waziri wake Gwajima je? Naye liachwe huko nje?!!
Ilikuwa nihoja mbaya kabisa kutolewa na kiongozi...kiongozi anachafua ukoo kisa mtu mmoja aliyehoji jambo halali mbele zake Mwenyezi Mungu. Afrika tunahali ngumu sana saaana
 
Kauli za ajabu ajabu sana from the lower IQued president!
Amewapaisha maGwajima wote bila sababu za msingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…