PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kawe wanasubiri awapeleke Birmingham hadi leo Hajawapeleka atawadanganya nini wamkubali?
 
Mmmh!! Mama kajiandaa kwa majibu atakayojibiwa na gwajima??
 
Katika nchi zenye asili ya ujamaa ,, Rais ana nguvu ya kuua na nguvu ya kuponya.

Kwa hekima ya kawaida tu Gwajima hapaswi kuongea tena kuhusu hiyo ajenda maana lengo la Gwajima ni mamlaka imsikie na tayar imeshasema imemsikia.
 

Uko sahihi 200%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…