PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Braza haujajibu hoja na uzuri mmoja leo umekuta nakunywa wine tu🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ Wewe unaamini mimi kusema Samia hafai namkosea heshima sawa bhana, kama ndivyo unavyofikir.

Ngoja niagize Serengeti lager hapa, nikisubiri Press ya Gwajima au Makamba ✌🏾 😁
 
Kwani gwajima kazungumza kuhusu kitu gani kibaya ? Mpaka awakere watu wa kawe? Jibu kwa hoja za kisomi
aliahidi mambo muhimu sana kama vile kupeleka wananchi wa kawe china na marekani, akaahidi kujenga treni ya kisasa kawe, akaahidi kununua boti za uvuvi za kisasa kwaajili ya wavuvi wa kawe n.k

kwakweli alizingumza mambo mazuri mno kwaajili ya wana kawe gentleman, na muda wa majumuisho umefiki, huku giza totoro katika ahadi zote hizo.

kisasa,
hata kama ni wewe ungefanyaje kukwepa maswali ya hasira ya wananchi wa kawe dhidi yako?,πŸ’
 
Mbona mama hajibu hoja za Gwajima? Yaani humo CCM hakuna awezaye kujibu hoja za Gwajima zaidi ya kumbagaza?

Vv
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ Wewe unaamini mimi kusema Samia hafai namkosea heshima sawa bhana, kama ndivyo unavyofikir.

Ngoja niagize Serengeti lager hapa, nikisubiri Press ya Gwajima au Makamba ✌🏾 😁
Hapana haumkosei raisi kwa sababu cheo cha raisi kina heshima zake ikiwa ni pamoja na kukusolewa tofauti na ufalme ila iwe tu kwa staha,ila hawa machawa kina Tlaatlaah nikuwapiga spana
 
Na CCM imeahidi Katiba Mpya kwenye Uchaguzi ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…