Rais Samia: Tutafuta baadhi ya Mashirika yasiyoleta tija, yakifa wafe nayo

Tatizo kila Kiongozi anakuja na mtazamo wake,

Mwingine anabinafsisha akija mwingine anataifisha [emoji848][emoji848]

Sasa hata havieleweki.
 
TPA ilikuwa ina operates Kwa ICDs wakati wa JK, alipoingia JPM akaziondoa na kurejesha uendeshaji kwenye TPA main.
 
Hata mim napikia maharage umeme mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni watanzania tu hatujiongezi ila umeme wa 1000 ambao ni unit 2.8 hupika maharagwe na unit hubaki 2, hivyo unajikuta sehemu kubwa umeokoa mazingira, muda
Hapo Mkaa ukute umetumia kwa 1500
 
TPA ilikuwa ina operates Kwa ICDs wakati wa JK, alipoingia JPM akaziondoa na kurejesha uendeshaji kwenye TPA main.
Mfumo wa ICD zamani ulikuwa na wizi sana maana Bandarini enzi hizo wanatoa mizigo kwa kulipa Cash.

Mfumo wa Control Number ulipoingia wizi ukapungua ila bado kuna makontena yana matatizo sababu mifumo haisomani, TPA na TRA
 
Ndio maana NHC wameanza ingia ubia na Sekta Binafsi ie Viwanja 19 vya Kariakoo tayari vimepata watu na taratibu zote zakaribia kukamilika kabla ya Mkataba kupelekwa kwa Mwanasheria Mkuu
Hata kabla ya huko Kariakoo,NHC imeanza ujenzi wa Samia housing
 
Mfumo wa ICD zamani ulikuwa na wizi sana maana Bandarini enzi hizo wanatoa mizigo kwa kulipa Cash.

Mfumo wa Control Number ulipoingia wizi ukapungua ila bado kuna makontena yana matatizo sababu mifumo haisomani, TPA na TRA
Bandari ikishakuwa Mali ya Umma ,mizigo Mingi ya vigogo inapitia Kwa vimemo,ujinga huu utakomeahwa na private sector
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…