Rais Samia: Tutafuta baadhi ya Mashirika yasiyoleta tija, yakifa wafe nayo

Rais Samia: Tutafuta baadhi ya Mashirika yasiyoleta tija, yakifa wafe nayo

Tatizo kila Kiongozi anakuja na mtazamo wake,

Mwingine anabinafsisha akija mwingine anataifisha [emoji848][emoji848]

Sasa hata havieleweki.
 
TPA ilikuwa ina operates Kwa ICDs wakati wa JK, alipoingia JPM akaziondoa na kurejesha uendeshaji kwenye TPA main.
 
Hata mim napikia maharage umeme mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni watanzania tu hatujiongezi ila umeme wa 1000 ambao ni unit 2.8 hupika maharagwe na unit hubaki 2, hivyo unajikuta sehemu kubwa umeokoa mazingira, muda
Hapo Mkaa ukute umetumia kwa 1500
 
TPA ilikuwa ina operates Kwa ICDs wakati wa JK, alipoingia JPM akaziondoa na kurejesha uendeshaji kwenye TPA main.
Mfumo wa ICD zamani ulikuwa na wizi sana maana Bandarini enzi hizo wanatoa mizigo kwa kulipa Cash.

Mfumo wa Control Number ulipoingia wizi ukapungua ila bado kuna makontena yana matatizo sababu mifumo haisomani, TPA na TRA
 
Bandari ikishakuwa Mali ya Umma ,mizigo Mingi ya vigogo inapitia Kwa vimemo,ujinga huu utakomeahwa na private sector
 
Back
Top Bottom