Rais Samia: Tutanunua vichwa na mabehewa vya kuanzia vilivyotumika

Bado eti wawakilishi wa wananchi wanagonga meza za mninga . Na pongezi za kutosha.
Serkali inanunua used. Zina garantii ipi? Aibu.
Matumizi mabaya ya kodi

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Yaani vipya vitakuja 2023, mwezi wa ngapi? Kama ni January March tusubiri tu hamna shida, hata kama ni December 2023 poa wahenga walisema kawia ufike
 
acha ushambenga mtoto wa kiume taarifa ya hovyo km hii nani ataikubali. we unaishi nyumba moja na rais wakati aliongea na wananchi jana. Ndio maana mnageuzwa nyuma mbele
 
Kama vipi zile ndege alizonunua mwendazake zinazoshinda zimepark zifanyiwe modifications ili zipige mzigo hapo SGR
 
Hivi bado mpo mnaoamini propaganda za Zitto and co kuwa zile ndege ni used? Tafuta mtu anaejua ndege akwambie ule mlio ni wa nini. Kukusaidia tu haihusiani kabisa na kutoa matairi.
Na hata hizi garimoshi bila Hangaya kukiri mngebwabwaja tu kuwa ni mpya, kama kawaida.
 
Ndugu kwani hujui ma fridge na tv second hand hua yanadumu sana kuliko mapya, mi fridge ilikua second hand lkn ni zaidi ya miaka mitano sijaita hata fundi😂😂😂
 
Used inatoa room ya upigaji kwa kuwa hakuna bei maalum. Kitu cha $50,000 utaambiwa $500,000. Mpya haina longolongo.
Kwa hiyo unajaribu kuzuia upigaji katika nchi ijulikanayo kama Tanzania ha ha ha
 
Kwa hiyo unajaribu kuzuia upigaji katika nchi ijulikanayo kama Tanzania ha ha ha
Bora rais amekuwa muwazi kabisa angelikuwa ndg "xyz" angeliamrisha vifanyiwe service maalum alafu vitamkwe ni vipya, na mngeamini na kukaa kimyaaah.
 
Sheria ya manunuzi serikali hainunui mitumba. Yawezekana ni zawadi kapewa na inauzwa, ila kwa vile hashitakiwi, ruksa.
But ndiyo ashasema 'tunanunua'.
 
Labda havina bima au 3rd party
Achana na Bongoline!
 
heri ya mama samia anaesema ukweli.....kuliko yule marehemu aliekuwa anadanganya kuwa serikali inajenga miundo mbinu kwa pesa zake kumbe anakopa kimyakimya......
 
acha ushambenga mtoto wa kiume taarifa ya hovyo km hii nani ataikubali. we unaishi nyumba moja na rais wakati aliongea na wananchi jana. Ndio maana mnageuzwa nyuma mbele
Hili ndilo tatizo la watoto uliyelelewa na mzazi mmoja hauna heshima na hata ukiwa na heshima bado sauti za kubarehe (tuliita) kibeberu zinakuathiri. -POLE!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…