Bi tizo kashazoea kwao Zanzibar kununua vitu used maana kule Zanzibar Vitu vyote ni used Yani mpaka wanawake wakiotumika bara wanaenda kutumika tena ZanzibarHaya Wabongo walikuwa wanawacheka na kuwakejeli Wakenya, sasa na Bongo pia wanaagiza mitumba!
Haikununuliwa, ilikodiwa Lebanon. Ni enzi za waziri Mwingira. Ilitua KIA na haikuruka tena.[emoji1][emoji1] Ni Mambo ya kawaida tu hayo,hata enzi za mzee baba tuliwahi kuuziwa ndege used ikapigwa rangi tu pale kiwandani then tukaambiwa Ni ndege mpyaaaa.Bora Hawa wa sasa wamesema hadharani kabisaa Kwamba Ni kitu used [emoji1][emoji1]
Kinacho sumbua akili za wengi ni mabadiriko ya sheria yanayo fanywa vyumbani badala ya bungeni.Kuchukuwa used kuna maana kubwa sana kwanza unapima ufanisi wa miundombinu yako, Ukraine aliwahi nunua akajuta hivyo tunaenda kwa akili pia,
Ukraine withdraws Hyundai Rotem trains
UKRAINIAN Railways (UZ) suspended operation of all 10 HRCS2 emus supplied in 2012 by Hyundai Rotem for inter-city operations on February 13, with all of the emus undergoing technical checks.
Kama ni kweli usemalo mjadala ufungwe, japo kwa nchi hii hiyo ni fursa ya upigaji. Mitumba haina dhamana.Ilishabadirishwa hiyo sheria
Ok binafsi nimeelewa vitakuja used vichache vianze safari huku tukipima Ubora wa reli mpya na miundombinu yake, that's good starts / kuliko "xyz" alivyokuwa akidanganya uongo ni mbaya sana mtu unasikia kabisa kifaa kinakoroma angani unatuambia ndio modeli yake wakati ikitaka kutoa tairi
Sisi ni watawaliwa, hatuna namna ya kudhibiti tawala jeuri. Upigaji kura ungekuwa na udhibiti wangehofia nguvu ya mpiga kura.But ndiyo ashasema 'tunanunua'.
Siku samia alipotaka ulaya kufanya royal tour,akafika Arusha,akasema filamu haijatumia pesa ya serikali,lakini imechangiwa na Watanzania!!pale ndio niliona ccm hawana mshipa wa aibu!!sasa hili la kusema unanunua vichwa vichakavu Ili utest mitambo,kwanini usisubili hivyo vipya?angesema wanakodisha angalau!!haki ya nani macccm wanatudharau sanaTaarifa zilizopatikana mpaka muda huu nabandika hii habari hapa jukwaani ni kuwa serikali inatarajia kununua mabehewa na engine kadhaa kwa ajili kuanza kutumika kwenye kipamde cha Dar - Moro.
Kauli imetolewa na amiri jeshi mkuu wa Tanzania Rais SSH na kuongeza kuwa "Lakini vipya tulivyoagiza kwa pesa nyingi tutavipokea 2023, na hivyo ndivyo vitakuja kufanya kazi kwa muda mrefu zaidi. "
Kutokana na kauli hiyo ya kupokelewa mabehewa mapya na engine zake hapo mwakani ikiwa ni miezi mitano tu ijayo, wadau na mimi nauliza kuna haja gani kununua used assets ikiwa kuna muda mfupi umebaki assets mpya zinakuja?.
Na je hivyo vipya vikifika hivyo chakavu vitapelekwa wapi siulizi garama zinazotumika!.
Hata upuuzi mnalazimisha kuuiga?Lete kifungu
Awamu ya 4 Lukaza wa Proin aliuzia Halmashauri zote nchini magari yaitumba ya kuzima moto
Umebobea kwenye siasa za chuki, Zitto kaingiaje hapa! Rais ndiye aliyesema kuwa serikali itanunua used, sasa Zitto kaingiaje kwenye mdomo wa Rais!Hivi bado mpo mnaoamini propaganda za Zitto and co kuwa zile ndege ni used? Tafuta mtu anaejua ndege akwambie ule mlio ni wa nini. Kukusaidia tu haihusiani kabisa na kutoa matairi.
Watanzania tunaendelea kupigwa na vitu vizito kichwani.Taarifa zilizopatikana mpaka muda huu nabandika hii habari hapa jukwaani ni kuwa serikali inatarajia kununua mabehewa na engine kadhaa kwa ajili kuanza kutumika kwenye kipande cha Dar - Moro...
kwani si sheria za manunuzi zimeruhusu.kama mnataka uozo huo usifanyike waambieni wabunge warepeal hiyo sheria.Taarifa zilizopatikana mpaka muda huu nabandika hii habari hapa jukwaani ni kuwa serikali inatarajia kununua mabehewa na engine kadhaa kwa ajili kuanza kutumika kwenye kipande cha Dar - Moro...
Sheria ya Manunuzi ya Umma inakataza katakata kununua vifaa vilivyokwisha tumika aka mitumba. Kwa hali hiyo basi inapendekezwa wanasheria na public procurement board wawasiliane ili kuibadili hii sheria kwani ni kikwazo cha kufikia lengo la kununua hiyo mitumba. Tunaambiwa hizo sheria tunazitunga Sisi, na sisi hawahawa tunaweza kuzitengua kwa vile sheria siyo msahafu. TAFAKARI.Taarifa zilizopatikana mpaka muda huu nabandika hii habari hapa jukwaani ni kuwa serikali inatarajia kununua mabehewa na engine kadhaa kwa ajili kuanza kutumika kwenye kipande cha Dar - Moro.
Kauli imetolewa na amiri jeshi mkuu wa Tanzania Rais SSH na kuongeza kuwa "Lakini vipya tulivyoagiza kwa pesa nyingi tutavipokea 2023, na hivyo ndivyo vitakuja kufanya kazi kwa muda mrefu zaidi. "
Kutokana na kauli hiyo ya kupokelewa mabehewa mapya na engine zake hapo mwakani ikiwa ni miezi mitano tu ijayo, wadau na mimi nauliza kuna haja gani kununua used assets ikiwa kuna muda mfupi umebaki assets mpya zinakuja?.
Na je hivyo vipya vikifika hivyo chakavu vitapelekwa wapi siulizi garama zinazotumika!.