Rais Samia: Tuzo hii ya Babacar Ndiaye alistahili Hayati Dkt. Magufuli

Huyo mwanae Bonge tumuite kwa jina lake basi. Anaitwa Joseph.
 
Ni tuzo ya kiserikali na sio ya familia yake
 
Mjane wa Magufuli ndo nani?
 
sio abubacar ndiaye ni babacar ndiaye
 
Unaleta hard feelings kwenye mambo ya serikali...Apewe mkewe kwani alikua wizara ya ujenzi? Kwani SSH amepingukiwa nn alivyosema vile alikua sahihi tu
 
Hakika Magufuli uliko pumzika kwa amani,umetuheshimisha barani afrika,

Wapo waliosema hawataki maendeleo ya vitu,lakini maendeleo ya vitu ndio yanaanza kwanza ,rais Samia kakubali wewe ni mwamba
Kakuheshimisha wew na familia yako. Usipende kutumia wingi, ongelea nafsi yako na familia yako ukienda mbali sana ongeza sukuma gang.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…