Rais Samia: Tuzo hii ya Babacar Ndiaye alistahili Hayati Dkt. Magufuli

Magufuli alikuwa anasema ukweli bila kupaka mafuta wala kujikuza; niliwahi kusema kuwa Magufuli
Mzee wa tunajenga kwa pesa zetu za ndani, kesho sisi ni tunakopesheka hahahah [emoji28][emoji28][emoji28] Eti msema kweli ni mpenzi wa Mungu wakati jamaa lilikuwa omgo kweli kweli
 
Kwa mara ya kwanza mama amekiri UKWELI hadharani.

Ila kwa ile team ROHO MBAYA leo itakuwa siku mbaya sana kwao.
Sukuma gang naona meno yote nje, mama anawateka kiujanja
 
Mzee wa tunajenga kwa pesa zetu za ndani, kesho sisi ni tunakopesheka hahahah [emoji28][emoji28][emoji28] Eti msema kweli ni mpenzi wa Mungu wakati jamaa lilikuwa omgo kweli kweli
Alisema tunanunua kwa hela yetu tena cash kuhusu manunuzi ya ndege.

Sasa wewe sema hela za manunuzi ya ndege zile zilikopwa wapi.
 
Mtanikumbuka tena mtanikumbuka kwa mambo mazuri!!

Na ataendelea kuishi. Kuna mijitu ipo serikalini ilikosoa sana hizi projects huku jumuia za kimataifa zikitoa tuzo kwa utekelezaji wake. Tuna Mi Tanzania inatusaliti sana.
 
Alisema tunanunua kwa hela yetu tena cash kuhusu manunuzi ya ndege. Sasa wewe sema hela za manunuzi ya ndege zile zilikopwa wapi.
Zilinunuliwa bei gani? Unajua kwanini alihamishia shirika la ndege chini ya ofisi ya ikulu? Jamaa alikuwa fisadi kweli kweli.
 
Zilinunuliwa bei gani? Unajua kwanini alihamishia shirika la ndege chini ya ofisi ya ikulu? Jamaa alikuwa fisadi kweli kweli.
Alihamishia Ikulu kusudi watu wasifanye wizi. Na ununzi ule haukuwa na wizi ndiyo maana aliweza kuleta madege mengi sana kwa muda mfupi.

Kuna wakati Mramba alituambia helio tule nyasi kusudi wapate ndege moja tu ya Gulfstream inayobeba abiria tisa tu ambayo leo hatuisikii tena; je wewe unajua hiyo Gulfstream moja tu ilinunuliwa kwa bei gani?

Jamaa kaleta maboeing, maairbus na mabombadia kwa muda mfupi bila watu kula nyasi. Usilete masikhara hapa.
 
Mama amekuwa mkweli. Angelikuwa yule angejitukiza yeye.

Nakumbuka jiwe alikuwa anamsagia kunguni Kikwete ili sifa zote zibaki kwake.
Yule fala alikuwa na roho mbaya hatari, nadhani mnakumbuka ile issue ya Membe..

Ndio maana kimekufa bila kutambulika popote..

Eti anamsagia kunguni JK wakati mwenzie ni kiongozi wa zaidi ya Taasisi 4 Duniani .
 
Miaka 6 ni mda mfupi? Mandege mengi mangapi?
 
Mtu hajajenga barabara sasa tuzo wanampa za nini?
Unakaribia kufa kwa wivu na chuki ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†.Samia atabeba tuzo nyingi Sana hadi atakapomaliza Ngwe yake.

Hizi amejenga baba yako?๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220524-120244.png
    159.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220524-202142.png
    166.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220522-164714.png
    220.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220402-230047.png
    160.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220329-162800.png
    226.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220329-160231.png
    239.1 KB · Views: 4
  • IMG_20220524_173524_646.jpg
    947.6 KB · Views: 4
  • IMG_20220524_173605_258.jpg
    707.2 KB · Views: 4
  • IMG_20220524_175106_500.jpg
    1.2 MB · Views: 4
  • IMG_20220524_174204_460.jpg
    769.5 KB · Views: 4
Ukweli gani liongo kabisa like? Mnajenga kwa pesa zenu ndio ukweli huo?

Anaesema ukweli anaweza zuia ukosoaji na kuwinda wanaomkosoa awaue?

Samia na Magufuli nani mkweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ