Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Elimu wanayopewa ni ya kutosha kabisa. Na mlianza kupinga suala la SGR mkashindwa, mkaja kupinga bwawa la Nyerere mkashindwa tena.Serikali ni ya waTanzania. Watanzania watakataa ujambazi huu, hili usiwe nalo shaka.
Usijione hapa kuwa unazo akili za kutosha.Kwa akili hizi serikali haina hata sababu ya kuwafikiria watu kama wewe. Hujui kuwa kwa kwenda bungeni suala zima linapata kinga ya kisheria.
Wewe usiyejua lolote ndio uone aibu kuongea vitu usivyo na uelewa navyo.
Hujuimaana ya elimu, siyo?Elimu wanayopewa ni ya kutosha kabisa. Na mlianza kupinga suala la SGR mkashindwa, mkaja kupinga bwawa la Nyerere mkashindwa tena.
Nyinyi kushindwa ni jadi yenu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu mama sanyoko suluhu atutolee taarabu zake hapa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Samia anayaogopa maandamano maana ameshaona hiyo ndio itakuwa njia ya mwisho kumzibua masikio yake, ili atusikie tukimwambia ule mkataba wa bandari ni mbovu unaomkandamiza mtanganyika na kuidhalilisha ardhi yetu, utu wetu, na mipaka yake, ameyataka mwenyewe kwa ukaidi wake.
Sasa ameona ayaweke maandamano kundi moja na vikundi vya kigaidi, hajui maandamano yapo kisheria, hiyo ni haki ya mtanganyika, kama anajua vilipo hivyo vikundi vya kigaidi aliagize jeshi la polisi likavikamate, asipoliagiza jeshi maana yake anafumbia macho vikundi vya kihalifu, hatufai.
Lakini asijaribu kutuchezea "mind games" ili kupunguza nguvu za kuzidai bandari zetu zote waTanganyika walizopewa waarabu, kwa huu mpango wake amefeli tayari, muhimu namshauri tu aliagize jeshi la polisi litoe ulinzi kwa waandamanaji hiyo siku ikifika, sasa ndio anavuna matunda ya ukaidi wake mwenyewe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama reply namba 7 ilivyosema , kiko wapi sasa?
Usifikiri kuokoteza na kuunganisha mambo yasiyohusika na mjadala huu yatawapeni ahueni yoyote.Na mlianza kupinga suala la SGR mkashindwa, mkaja kupinga bwawa la Nyerere mkashindwa tena
Mkataba mbovu kwa nyinyi mnaotumiwa na mafisadi wa bandarini lakini kwa watu makini hakuna ubovu wowote.Usifikiri kuokoteza na kuunganisha mambo yasiyohusika na mjadala huu yatawapeni ahueni yoyote.
Huwezi kukimbia "Makubaliano/Mkataba" mbovu kwa kuingiza maswala ya SGR na Bwawa yatawasaidia chochote.
Majizi wanaofanya kazi ngumu ya kuifikisha nchi katika uchumi wa kati.Hujuimaana ya elimu, siyo?
Udanganyifu na hadaa ni elimu?
Safari hii mmewafungua macho waTanzania, hilo ndilo jambo jema mlilofanya hadi sasa.
Wamewatambua kuwa nyinyi ni majizi.
Sasa unajivisha uzalendo, kwa haya yote uliyokwisha andika humu? Wewe ni fisadi wa kutupa kabisaMkataba mbovu kwa nyinyi mnaotumiwa na mafisadi wa bandarini lakini kwa watu makini hakuna ubovu wowote.
Halafu mnavyokosa uzalendo ni kwamba mnawapotezea hata fursa watu wa Mtwara wanaotaka kuuza korosho zao kw kwa ubinafsi wenu wa kipuuzi sana.
Mmemteka Samia, nchi imevurugika.Majizi wanaofanya kazi ngumu ya kuifikisha nchi katika uchumi wa kati.
Unasahau kuwa Baba yako mzazi ni sehemu ya mfumo wa nchi hii akiwa ameutumikia kwa heshima zote
Pole sana dada.
Wewe unaendelea kuzeeka na maumivu ya moyo kwani kila fitina unayofanya mwisho unakuwa mbaya tu kwako.Mmemteka Samia, nchi imevurugika.
Miaka hii mliyomshikilia hadi hapo atakapofurumushwa itakuwa imepotea bure chini ya uongozi mbovu anaouonyesha
Atakayeingia baada yake italazimu aanze upya hatua za kuisukuma mbele katika maendeleo nchi hii, baada ya kupotezewa muda na huyu mama.
Baba yangu humujui, na wala hujajibishana naye, lakini hilo halikuzuii mtu mwenye akili pungufu kumuingiza kwenye mjadala huu. Huu ni upumbavu.
Majambazi wanakwenda kusaini mikataba ya uwekezaji kuhusu suala zima la bandari.Sasa unajivisha uzalendo, kwa haya yote uliyokwisha andika humu? Wewe ni fisadi wa kutupa kabisa
Uzalendo kwako na Samia ni mambo yasiyowahusu kabisa kwa haya mliyokwisha yaonyesha wazi wazi kwa waTanzania.
Huzuiiwi kujivisha joho hilo la uzalendo kama Samia alivyojivisha ngozi ya kondoo wakati akiwa msaidizi wa Magufuli.
Jambazi yeyote hakatazwi kujivika joho la uzalendo. Wewe ni jambazi kati ya hayo yanayomn'gang'ania Samia na kumharibia heshima yake mbele za wananchi anaowaongoza.
Ni kheri kwangu kama nikizeeka nikipigania nchi yetu kutoangukia kwenye majambazi kama haya yanayomtumia Samia kuivuruga nchi yetu.Wewe unaendelea kuzeeka na maumivu ya moyo kwani kila fitina unayofanya mwisho unakuwa mbaya tu kwako.
Stiglers gorge fitina ilifeli.
SGR fitina ikabuma tena.
DP World na yenyewe itabuma pia.
Fitina za kipuuzi huwa na mwisho mbaya kumbuka Mungu humlinda mwenye haki.
Hilo litakuwa kwenye ndoto zako.Majambazi wanakwenda kusaini mikataba ya uwekezaji kuhusu suala zima la bandari.
Na nyinyi wenye wivu na roho mbaya mnakwenda kuandika maumivu.
DPW wanakwenda kusaini mkataba unaokwenda kubadili kabisa uendeshaji wa bandari yetu. Wazee wa under declaration na false declaration na magumashi yote yatafika mwisho.Ni kheri kwangu kama nikizeeka nikipigania nchi yetu kutoangukia kwenye majambazi kama haya yanayomtumia Samia kuivuruga nchi yetu.
Mchango wowote ninaoweza kuutoa, hata uwe mdogo kiasi gani, nitaridhika nao.
Nina hakika nch yetu haitaangukia kwa watu waovu kama nyinyi.
Zaidi ya kusema mkataba mbovu hujaonyesha ubovu wake kwa kuchambua kisheria tena kwa kuzingatia kuwa sheria huenda zikibadilika.Hilo litakuwa kwenye ndoto zako.
Hakuna mkataba mbovu wa aina hii uliotengenezwa na genge la wahujumu utakaofanyika Tanzania.
Hili kuwa na uhakika nalo.
Bandari kuwekezwa, hakuna anayelikataa hilo. Acha kuendelea kujitia ukichaa kwa hilo.
Nitaendelea kukumbusha hata mara milioni moja, kwamba huo ujuha wako tayari tunaujua, kwamba hakuna asiyependa Bandari yetu ifanye kazi vizuri, iwe ni kwa DP World, mwekezaji mwingine, au sisi wenyewe.DPW wanakwenda kusaini mkataba unaokwenda kubadili kabisa uendeshaji wa bandari yetu. Wazee wa under declaration na false declaration na magumashi yote yatafika mwisho.
Hizi pelepete za JF zitafika mwisho na zenyewe. Wazalendo ni wale wanaotaka kuongeza pato la taifa kisayansi.
Siku zote ukweli hupanda ngazi wakati uongo hupanda lifti.