Rais Samia: Uchumi wetu unakua lakini tunachokusanya kingi kinaingia mifukoni kwa Watu

 
Yeye analipa Kodi, kiasi gani? Nyani haoni kundule!
 
Mungu aepushe Vita Mashariki ya Kati
Na wewe umeanza kuogopa ???!! πŸ˜³πŸ˜‚πŸ˜‚
World war 3 is imminent 😱
Inangojewa retaliation ya Israel ili shughuli ianze 😳

Vita havina macho !
Punda watapanda bei sana maana mafuta hayatakuwepo tena πŸ˜‚πŸ˜…

Ngoja Tusubiri tuone. πŸ™Œ
 
Maamuzi magumu yafanyike
i kweli pesa nyingi zinaishia mifukoni mwa watu ,
Yule aliyekuwa na majumba mangapi vile tuliambiwa. ??!
Na yule je alikutwa na ma B kibao home ??!
Au ilikuwa anasingiziwa tu. ???!!
Je na yule tuliambiwa alijitengenezea kamtandao kake zikawa zinaingia milioni 7 kila dakika kipindi cha Anko JPM ??!
Au naye ilikuwa sio kweli ??
 
Punguzeni mishahara, posho na marupurupu ya wanasiasa (wabunge) na baneni matumizi kwa kupunguza safari zisizo na ulazima na kuondoa makongamano yasiyoisha kila uchao

Halmashauri nyingi hazikusanyi mapato ipasavyo.Makadirio/maoteo yao yapo chini ya nusu.Waache wizi.
Wanaopiga zilizokusanywa tayari ziko hazina kwa kisingizio cha miradi etc hawa ndio hatari zaidi,hawana tofauti na magaidi.
 
Wanasiasa nao walipe kodi. Nimeona screenshot ya spika wa bunge akimtumia mtu hela kumbe hakatwi chochote.
 
Mama kamaanisha pesa zinakusanywa lakin maboss wa tra wanachukua kama zao,wanaacha kidogo
Kwani yeye anafanya tofauti na hao tra?

Wanatupanga

Biashara za magendo zimerudi kwa Kasi.

Acha wananchi wajineemeshe kwani kodi wana faida wachache. So hapa imebalance

Waendelee na blablakblagggg nchi iendelee kutym ukiwa. Halafu mpo kusema uchumi unakua then wachangiaji kodi ni mil 2 tuuuu sasa lipi ni lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…