Rais Samia ukiendelea kujibizana na hawa wapumbavu kuhusu uwekezaji wa Bandari utapoteza mwelekeo na utapoteza muda

Akili yako inamatatizo
 
Rais ni mtumishi wa umma na mamlaka yake yanatokana na kukubalika na umma. Hawezi kujifanyia mambo tu kinyume na matakwa ya umma kisa yeye rais, msimpotoshe!
 
Yaani watu wanahoji kuhusu mapungufu ya huo mkataba wenu na ndugu zenu Waarabu! Wewe unawaita wapumbavu!! Basi kama ni hivyo, wewe utakuwa ni taahira.
 
Hizi nchi za kiafrika zina wajinga wengi, watu wenye upeo mdogo ni wengi sana.

Kuvunja nchi ni kazi nyepesi sana kuliko inavyodhaniwa, akitokea mmoja mwenye elimu japo kidogo ni rahisi kuyumbisha umma mzima na kuwapata wengi tu watakaomuunga mkono.

Ni kweli kabisa mijadala imeshatosha, wanasheria wameshatuelimisha vya kutosha. Kinachoendelea ni kujazana ujinga tu.

Waingie kwenye hatua za kuandaa hiyo mikataba ya Consession na Lease ili watu watazame ustaarabu mwingine.
 


Namba ya Simu
 
Hivi wewe taburarasa. Mbona hauna akili. Gas ya mtwara Ina faida Gani Kwa taifa hili. Si mlishawauzia wazungu. Bandari haiuzwi piga ua garagaza. Mikataba Gani inainufaisha taifa letu. Wote si ccm na watoto wao ambao ni wachache ndo wanufaika nayo...
 
Weledi wanapinga kwa vifungu vya sheria na katiba wewe unakuja na maneno kama faizafox. Kama Msukuma na wenzake wamekata tamaa ya kutetea wewe na yule mzee Tyson ndo mtwbaki wenyewe.
Ni ujinga tu hawa watu ukute hata mkataba mwenyewe hajausoma
 
Kama ambavyo kama ataendelea kuwasikiliza Wapumbavu kama wewe basi ataangamia kama walivyoangamia wa kabla yake.
 
bora baba yako angejichukulia sheria mkononi tuu kuepusha uwepo wako duniani hopeless kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…