Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Kaka anakuja na mawazo ya kishamba ya kulalamika bila kutazama mchango wa mpira katika dunia ya sasa.Pompoma ni Simba,hajaridhika na kuachwa Kwa Tshabalala na Kapombe,hivyo ndiyo maana anaisagia kunguni Taifa Stars
Acha mama amwage pipi
Wanamwonea wivu mamaKaka anakuja na mawazo ya kishamba ya kulalamika bila kutazama mchango wa mpira katika dunia ya sasa.
Hii kazi hii namshukuru Mungu sina ndugu anayeifanyaAtuguse na sisi walimu jamani tuna maisha magumu sana GENTAMYCINE
Kwa akili hizi nahisi hata hao ndugu zako wangeishia kutuharibia watotoHii kazi hii namshukuru Mungu sina ndugu anayeifanya
Wajinga kama wewe hamuwezi kuisha ndani ya hii nchi.Faida nchi inayoingiza kutokana na Mechi izo za kimataifa ni Kubwa Timu Moja tu kuhudumiwa apa kiwango Cha chini kabisa ni milioni 100 apo Bado Mashabiki zao wanaokuja kwaiyo nchi inaingizaga pesa ndefu kadri hizo timu zinavyozidi Kufika mbali kwaiyo milioni 5 Sijui Kumi ni kiasi kidogo sana kulingana pesa nch inayoingiza.
Sasa apa labda uulizie zinaenda wapi lakini kusema eti awalipie apo hamna Hoja ya msingi Kila wizara isimamie wizara zake kwa pesa zake mama Ile anayotoa ni hamasa tu na imelipa Simba na Yanga zinavyozidi kwenda mbele Kila mtu amefurahi ata wewe pia umefurahi na Sasa ni Starts.
Dagaa ni wzuri kwa mifupa mkuuuNaomba Rais atuongezee mshahara ha sisi walimu tunashindia dagaa
Exactly.Hizo hela anazochezea kununua hayo magoli, si angewapa wasaidizi wake wakakimbize mwenge pasipo kuwachangisha watumishi wa umma, na wananchi wanyonge mtaani!
Cc: mpwayungu villageAtuguse na sisi walimu jamani tuna maisha magumu sana GENTAMYCINE
Tanua ubongo kaka fikiria kwa kina, uweze kuziona faida nyingi zinazoambatana na ukuaji wa kiwango cha soka.Wajinga kama wewe hamuwezi kuisha ndani ya hii nchi.
KarambashKuna wakati unaleta mada zenye akili sana. Kwa kweli nikiwa kama elder brother wako, ninajivunia sana kuwa na mdogo genius na intellectual kama wewe.
Hivi kumbe mwenge kuna watu wanachangishwa...Hizo hela anazochezea kununua hayo magoli, si angewapa wasaidizi wake wakakimbize mwenge pasipo kuwachangisha watumishi wa umma, na wananchi wanyonge mtaani!
Kuja na malalamiko kuhusu pesa zinazoingizwa katika mpira ni sehemu ya ukosefu wa furaha, ni sehemu ya ulalamikaji wetu wa kila siku.Sometimes it’s good to lift the national spirit and football is good at that, when the team wins.
Kwa nchi ambayo ina rank amongst least ya watu wenye furaha; walau hizi jitihada za kujaribu ku motivate ushindi zipongezwe ata kama zinaleta furaha ya muda mfupi tu.
Taifa linahitaji wananchi kuwa pamoja, patriotic na kupata furaha; mechi za kimataifa zinafanya kazi hiyo vizuri team inaposhinda. Kwa hapa Bi Tozo kaona kitu.
Halafu tukimkumbuka Hayati Magufuli tunabatizwa Jina la Kiubaguzi la SUKUMA GANG wakati Wengine ni Wazanaki ( Mara ) na Wamakuwa ( Mtwara ) Kimakabila.
Rais ana mfuko wake consolidated fund, hizo pesa anatowa kwenye mfuko huo na wala siyo za kibajeti na wala Hakuna wa kumpangia fund yake atumie vipi kama vile Wewe huwezi kupangiwa matumizi ya pesa zako.Kwa sasa ni rasmi kuwa ukitaka Kumlipia Mwanao Bima yake ya Afya kwa Mwezi ni Tsh 160,000/ na ya Familia ni Tsh 600,000 huna hizo Pesa ukiugua subiria tu Kufa na tukakuzike.
Hivyo basi GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) namuomba Mheshimiwa Rais Samia kuwa kwakuwa kumbe kuna Hela za Kuchezea za Kununua Magoli ya Simba, Yanga na Taifa Stars hata Wakiyafunga 1000 tunaomba kwa Upendo na Utayari wake huo huo atulipie / awalipie Watanzania Wote hii / hiyo Tsh 600,000/ ya Bima ya Afya ya mwaka.
Na kiukweli tutamshukuru na hata pengine kumuomba awe Rais wetu wa Milele / Maisha.
Afya ni jambo la muhimu sana kuliko hiyo furaha ya muda ya mpira,augiliwe na mpendwa wake,akose hela ya matibabu..alafu tuone hata kama anaweza kwenda kuangalia na kufurahia huo mpira.Kuja na malalamiko kuhusu pesa zinazoingizwa katika mpira ni sehemu ya ukosefu wa furaha, ni sehemu ya ulalamikaji wetu wa kila siku.
Tatizo ni Ccm, Mama yeye ndio NHIF? Mama ndio waziri wa fedha? Mama ndio waziri wa Nishati? Mama ndio waziri wa kilimo?Mama yetu tunampenda sana ila ukweli nchi imemshinda hii.
Afya tangu wakati wa Magufuli inatengewa pesa nyingi sana, Kilimo pia kinachukua pesa nyingi sana.Afya ni jambo la muhimu sana kuliko hiyo furaha ya muda ya mpira,augiliwe na mpendwa wake,akose hela ya matibabu..alafu tuone hata kama anaweza kwenda kuangalia na kufurahia huo mpira.
Always mwenye nacho hamkumbuki asiye nacho,shida isikie kwa mtu tu.