Rais Samia ukimaliza kuchezea Pesa kuisaidia Taifa Stars tunakuomba uwasaidie na Watanzania wote kwenye jambo hili la Muhimu

Rais Samia ukimaliza kuchezea Pesa kuisaidia Taifa Stars tunakuomba uwasaidie na Watanzania wote kwenye jambo hili la Muhimu

Faida nchi inayoingiza kutokana na Mechi izo za kimataifa ni Kubwa Timu Moja tu kuhudumiwa apa kiwango Cha chini kabisa ni milioni 100 apo Bado Mashabiki zao wanaokuja kwaiyo nchi inaingizaga pesa ndefu kadri hizo timu zinavyozidi Kufika mbali kwaiyo milioni 5 Sijui Kumi ni kiasi kidogo sana kulingana pesa nch inayoingiza.

Sasa apa labda uulizie zinaenda wapi lakini kusema eti awalipie apo hamna Hoja ya msingi Kila wizara isimamie wizara zake kwa pesa zake mama Ile anayotoa ni hamasa tu na imelipa Simba na Yanga zinavyozidi kwenda mbele Kila mtu amefurahi ata wewe pia umefurahi na Sasa ni Starts.
Wajinga kama wewe hamuwezi kuisha ndani ya hii nchi.
 
Issue ya bima ya afya kweli ni janga kwa taifa. Kilio kitakuja baada ya wenye bima ku expire na kwenda kurenew. Huyu bi mkora sijui kwanini anafumbia mambo ya maana
 
Sometimes it’s good to lift the national spirit and football is good at that, when the team wins.

Kwa nchi ambayo ina rank amongst least ya watu wenye furaha; walau hizi jitihada za kujaribu ku motivate ushindi zipongezwe ata kama zinaleta furaha ya muda mfupi tu.

Taifa linahitaji wananchi kuwa pamoja, patriotic na kupata furaha; mechi za kimataifa zinafanya kazi hiyo vizuri team inaposhinda. Kwa hapa Bi Tozo kaona kitu.
Kuja na malalamiko kuhusu pesa zinazoingizwa katika mpira ni sehemu ya ukosefu wa furaha, ni sehemu ya ulalamikaji wetu wa kila siku.
 
Kwa sasa ni rasmi kuwa ukitaka Kumlipia Mwanao Bima yake ya Afya kwa Mwezi ni Tsh 160,000/ na ya Familia ni Tsh 600,000 huna hizo Pesa ukiugua subiria tu Kufa na tukakuzike.

Hivyo basi GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) namuomba Mheshimiwa Rais Samia kuwa kwakuwa kumbe kuna Hela za Kuchezea za Kununua Magoli ya Simba, Yanga na Taifa Stars hata Wakiyafunga 1000 tunaomba kwa Upendo na Utayari wake huo huo atulipie / awalipie Watanzania Wote hii / hiyo Tsh 600,000/ ya Bima ya Afya ya mwaka.

Na kiukweli tutamshukuru na hata pengine kumuomba awe Rais wetu wa Milele / Maisha.
Rais ana mfuko wake consolidated fund, hizo pesa anatowa kwenye mfuko huo na wala siyo za kibajeti na wala Hakuna wa kumpangia fund yake atumie vipi kama vile Wewe huwezi kupangiwa matumizi ya pesa zako.

Tuache ujuwaji, halafu mwanaume kumuonea wivu mwanamke nini maana yake?

Tatizo lililopo siyo la Mama Samia, tatizo ni Ccm, namna ya kutibu tatizo ni kuiondowa Ccm kuanzia ngazi ya kitongoji mpaka ikulu.
 
Kuja na malalamiko kuhusu pesa zinazoingizwa katika mpira ni sehemu ya ukosefu wa furaha, ni sehemu ya ulalamikaji wetu wa kila siku.
Afya ni jambo la muhimu sana kuliko hiyo furaha ya muda ya mpira,augiliwe na mpendwa wake,akose hela ya matibabu..alafu tuone hata kama anaweza kwenda kuangalia na kufurahia huo mpira.

Always mwenye nacho hamkumbuki asiye nacho,shida isikie kwa mtu tu.
 
Afya ni jambo la muhimu sana kuliko hiyo furaha ya muda ya mpira,augiliwe na mpendwa wake,akose hela ya matibabu..alafu tuone hata kama anaweza kwenda kuangalia na kufurahia huo mpira.

Always mwenye nacho hamkumbuki asiye nacho,shida isikie kwa mtu tu.
Afya tangu wakati wa Magufuli inatengewa pesa nyingi sana, Kilimo pia kinachukua pesa nyingi sana.

Ni rahisi kulalamika humu jukwaani kama huna taarifa za kina za kinachofanywa na serikali kuu.

Kagame katumia milioni 500 kwa ajili ya kikao cha FIFA pale Kigali, jiulize anarudisha mabilioni mangapi na yanakwenda kufanya nini kwa watu wa Rwanda.
 
Back
Top Bottom