Rais Samia ukimaliza kuchezea Pesa kuisaidia Taifa Stars tunakuomba uwasaidie na Watanzania wote kwenye jambo hili la Muhimu

Kufika hizo hatua sio hamasa ni uwezo. Wape hamasa mtibwa wachukue ubingwa uone kama itawezekana.

Simba wamefika hyo hatua kabla hata ya hizo pesa za mama samia.

Ukweli kuna shida, ikiwa watendaji wake wanaona anafanya hayo unafikiri nao watakua na uchungu wa pesa za umma?
 
Huu uongo
 
Haki ya Mungu wanakera, kuna vitu muhimu vya kuongelea ila inaonekana hilo neno na matendo yake wanayependa kweli maana kila Kukicha wanalitaja wakidhani wanadidimiza wakati kumbe wanapromote. Wanakera mno!
Binafsi sina shida wajadili wanavyotaka, lakini kuwe na mipaka. Sio kwenye kila mjadala wanaingiza mambo yao kama vile kila mtu yupo comfortable kujadili au yupo interested nayo.

Moderators wafungue jukwaa lao, kwanza 90% ya wachangiaji wake huwa ni watu wale wale wa jukwaa la mapenzi, chitchat, celebrities na mengineo ya social. Hakuna kitu serious kwenye mada zao zaidi ya ujinga ujinga ata wakija huku kwenye siasa comments zao uwa ujinga.

Rarely utakuta mtu anaeshinda kwenye siasa 90% ya muda wake anapoingia JF siku nzima akachangia huo upuuzi wao. Hizo mada zimekuwa nyingi sana ni busara kuanzishwa kwa jukwaa lake watu wajadili wanavyotaka huko; lakini sio kutuletea hizo points kila mada as wote tunataka kuongelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…