Rais Samia ukimaliza kuchezea Pesa kuisaidia Taifa Stars tunakuomba uwasaidie na Watanzania wote kwenye jambo hili la Muhimu

Rais Samia ukimaliza kuchezea Pesa kuisaidia Taifa Stars tunakuomba uwasaidie na Watanzania wote kwenye jambo hili la Muhimu

Faida nchi inayoingiza kutokana na Mechi izo za kimataifa ni Kubwa Timu Moja tu kuhudumiwa apa kiwango Cha chini kabisa ni milioni 100 apo Bado Mashabiki zao wanaokuja kwaiyo nchi inaingizaga pesa ndefu kadri hizo timu zinavyozidi Kufika mbali kwaiyo milioni 5 Sijui Kumi ni kiasi kidogo sana kulingana pesa nch inayoingiza.

Sasa apa labda uulizie zinaenda wapi lakini kusema eti awalipie apo hamna Hoja ya msingi Kila wizara isimamie wizara zake kwa pesa zake mama Ile anayotoa ni hamasa tu na imelipa Simba na Yanga zinavyozidi kwenda mbele Kila mtu amefurahi ata wewe pia umefurahi na Sasa ni Starts.
Kufika hizo hatua sio hamasa ni uwezo. Wape hamasa mtibwa wachukue ubingwa uone kama itawezekana.

Simba wamefika hyo hatua kabla hata ya hizo pesa za mama samia.

Ukweli kuna shida, ikiwa watendaji wake wanaona anafanya hayo unafikiri nao watakua na uchungu wa pesa za umma?
 
Watanzania katika ubora wenu wa kutoridhika na lolote, katika ubora wenu wa kulalamika mkijifanya mnajua kila kitu.

Pesa wanazopewa timu zinaposhinda ni hizi hizi za tozo unazolipa kila unapompigia simu mjomba kule Sirari au Isevya ni hizi hizi tu hakuna zingine.

Lipa kodi na pesa za bima ni hizo hizo, za kujenga barabara ni hizo hizo, za kutibu wazee ni hizo hizo. Kumbuka mpira ni biashara kubwa sana duniani.

Kagame katumia shilingi milioni 500 kwa ajlli ya kikao cha FIFA cha ndani ya wiki moja tu, zinakwenda kurudi mara kumi zaidi ya hizo. Pia kumbuka huyu ndiye aliyewezesha maneno ya Visit Rwanda yawe katika vifua vya jezi za Arsenal na PSG.

Samia anapita humo humo walikopita kina Kagame na viongozi wengine wenye maono ya hali ya juu.
Huu uongo
 
Haki ya Mungu wanakera, kuna vitu muhimu vya kuongelea ila inaonekana hilo neno na matendo yake wanayependa kweli maana kila Kukicha wanalitaja wakidhani wanadidimiza wakati kumbe wanapromote. Wanakera mno!
Binafsi sina shida wajadili wanavyotaka, lakini kuwe na mipaka. Sio kwenye kila mjadala wanaingiza mambo yao kama vile kila mtu yupo comfortable kujadili au yupo interested nayo.

Moderators wafungue jukwaa lao, kwanza 90% ya wachangiaji wake huwa ni watu wale wale wa jukwaa la mapenzi, chitchat, celebrities na mengineo ya social. Hakuna kitu serious kwenye mada zao zaidi ya ujinga ujinga ata wakija huku kwenye siasa comments zao uwa ujinga.

Rarely utakuta mtu anaeshinda kwenye siasa 90% ya muda wake anapoingia JF siku nzima akachangia huo upuuzi wao. Hizo mada zimekuwa nyingi sana ni busara kuanzishwa kwa jukwaa lake watu wajadili wanavyotaka huko; lakini sio kutuletea hizo points kila mada as wote tunataka kuongelea.
 
Back
Top Bottom