Per Diem
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 2,189
- 3,724
Kufika hizo hatua sio hamasa ni uwezo. Wape hamasa mtibwa wachukue ubingwa uone kama itawezekana.Faida nchi inayoingiza kutokana na Mechi izo za kimataifa ni Kubwa Timu Moja tu kuhudumiwa apa kiwango Cha chini kabisa ni milioni 100 apo Bado Mashabiki zao wanaokuja kwaiyo nchi inaingizaga pesa ndefu kadri hizo timu zinavyozidi Kufika mbali kwaiyo milioni 5 Sijui Kumi ni kiasi kidogo sana kulingana pesa nch inayoingiza.
Sasa apa labda uulizie zinaenda wapi lakini kusema eti awalipie apo hamna Hoja ya msingi Kila wizara isimamie wizara zake kwa pesa zake mama Ile anayotoa ni hamasa tu na imelipa Simba na Yanga zinavyozidi kwenda mbele Kila mtu amefurahi ata wewe pia umefurahi na Sasa ni Starts.
Simba wamefika hyo hatua kabla hata ya hizo pesa za mama samia.
Ukweli kuna shida, ikiwa watendaji wake wanaona anafanya hayo unafikiri nao watakua na uchungu wa pesa za umma?