Rais Samia ukimaliza kuchezea Pesa kuisaidia Taifa Stars tunakuomba uwasaidie na Watanzania wote kwenye jambo hili la Muhimu

Kwa sasa ni rasmi kuwa ukitaka Kumlipia Mwanao Bima yake ya Afya kwa Mwezi ni Tsh 160,000/ na ya Familia ni Tsh 600,000 huna hizo Pesa ukiugua subiria tu Kufa na tukakuzike.

Hivyo basi GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) namuomba Mheshimiwa Rais Samia kuwa kwakuwa kumbe kuna Hela za Kuchezea za Kununua Magoli ya Simba, Yanga na Taifa Stars hata Wakiyafunga 1000 tunaomba kwa Upendo na Utayari wake huo huo atulipie / awalipie Watanzania Wote hii / hiyo Tsh 600,000/ ya Bima ya Afya ya mwaka.

Na kiukweli tutamshukuru na hata pengine kumuomba awe Rais wetu wa Milele / Maisha.
Simba,Yanga na Taifa stars ni WAchache pesa za kuwalipa zipo ila unaposema Watanzania wote sijui unasema hayo Kwa pesa zipi hasa?

Ukute hata Kodi Huwa hulipi ila domo Juu Juu.
 
Watu hawajawahi kuwa na Jema

Kwanini usieleze hoja yako bila kufubaza hizo hamasa wanazopewa wanamichezo wetu???
 
Hakuna serikali inayokamilisha ahadi zote, huko USA kuna ombaomba wanalala nyumba za kwenye maboksi lakini hawachoki kusaidia kilimo na afya bara la afrika. Si wangeanza kwanza na maskini wa mitaa ya Baltimore, Mississipi na New Orleans?.

Hakuna serikali inayoweza kukamilisha kila kitu, tupunguze hizi nongwa zisizo na msingi eti rais anatumia pesa nyingi kwenye michezo, tujaribu kuweka uhusiano kati ya pesa hizo na ushawishi wa Tanzania kimataifa, naamini upo tena mkubwa tu.
Mfano wako ni wa hovyo sana [emoji16]
 
Halafu hela yenyewe basi unaweza kudhani labda ni milioni 100. Kumbe kila goli milion 10. Akiulizwa huyo anayelalamika kwamba hizo milion 10 zitaenda kufanyia utatuzi wa kitu gani kwa pesa hiyo atabaki anajiumauma.
Kingine watu wanalalamika bila hata kujua pesa zinatoka kwenye mfuko wake rais, wanadhani labda anaikamua hazina.
Vitu vingine ni nongwa tu.
 
Hongera Mkuu naona baada ya Watu kuja na Parodies za GENTAMYCIME, Rapa Gentamycine na GENTAMYPINE na Kutofanikiwa Kusafiria Nyota yangu Kali Kimvuto na Uwasilishaji hapa JamiiForums Wewe sasa umeamua Kujiita Jenter ambacho ni Kifupisho cha ID yangu ambapo Members wengi hupenda Kufupisha na Kuniita Genta.

Natabiri sasa Siku si nyingi kuna Mtu hapa hapa JamiiForums atajiita Genta au GENTA.

Jamani kuna GENTAMYCINE Mmoja tu hapa JamiiForums ambaye ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Mimi na mnaoiga ID Kutwa mnapoteza muda kwani hamjabarikiwa na Mwenyezi Mungu kwa Shani / Tunu zake nyingi alizonipa pamoka na hii Natural Charm niliyonayo.

Kazi kweli kweli.....!!!!!!
Nazidi kujiridhisha kuwa wewe una akili "kubwa" lakini dish limecheza kidogo na hauko sawa.
Kiwango hiki cha dish kucheza huwa sio hatarishi kwa jamii iliyokuzunguka, lakini ni jambo jema kama utawahi kuwaona wataalamu ili kuzuia madhara zaidi.
Pole, ni mambo ya kawaida tuu hayo!
 
Halafu tukimkumbuka Hayati Magufuli tunabatizwa Jina la Kiubaguzi la SUKUMA GANG wakati Wengine ni Wazanaki ( Mara ) na Wamakuwa ( Mtwara ) Kimakabila.
Magu ni lazima kukumbukwa hakuna namna na hakuna wa kuzuia hilo kamwe,,Yule Chief ana nafasi kubwa sana miyoyoni mwa watz waliowengi!!!
 
Faida nchi inayoingiza kutokana na Mechi izo za kimataifa ni Kubwa Timu Moja tu kuhudumiwa apa kiwango Cha chini kabisa ni milioni 100 apo Bado Mashabiki zao wanaokuja kwaiyo nchi inaingizaga pesa ndefu kadri hizo timu zinavyozidi Kufika mbali kwaiyo milioni 5 Sijui Kumi ni kiasi kidogo sana kulingana pesa nch inayoingiza.

Sasa apa labda uulizie zinaenda wapi lakini kusema eti awalipie apo hamna Hoja ya msingi Kila wizara isimamie wizara zake kwa pesa zake mama Ile anayotoa ni hamasa tu na imelipa Simba na Yanga zinavyozidi kwenda mbele Kila mtu amefurahi ata wewe pia umefurahi na Sasa ni Starts.
ingependza zaidi angewekeza kwny mfumo/michezo badala ya magoli. zamani enzi za Nyerere ukiugua ukienda hosp. unapata matibabu bila kudaiwa chchte. ss hvi matibabu ni gharama na watu wanakufa kuliko kiasi. wanawekeza kwnye magoli badala ya maisha ya waTz. na huenda wala hizo hela haziko ktk bajet yyte - ambapo labda ni mfuko wake ikiwa na maana analipwa nyngi kliko anavohitaji. kilio kikuu cha waTz sidhani kama ni magoli, huenda ni afya.. nk
 
Kwa sasa ni rasmi kuwa ukitaka Kumlipia Mwanao Bima yake ya Afya kwa Mwezi ni Tsh 160,000/ na ya Familia ni Tsh 600,000 huna hizo Pesa ukiugua subiria tu Kufa na tukakuzike.

Hivyo basi GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) namuomba Mheshimiwa Rais Samia kuwa kwakuwa kumbe kuna Hela za Kuchezea za Kununua Magoli ya Simba, Yanga na Taifa Stars hata Wakiyafunga 1000 tunaomba kwa Upendo na Utayari wake huo huo atulipie / awalipie Watanzania Wote hii / hiyo Tsh 600,000/ ya Bima ya Afya ya mwaka.

Na kiukweli tutamshukuru na hata pengine kumuomba awe Rais wetu wa Milele / Maisha.
Hili Jambo linasikitisha Sana. Nimeamini wanasiasa wa TZ ni Kenge.

Wao wanatubiwa india Kwa kidi zetu afu Sisi Hata kile kidogo wanatunyang'anya
 
Halafu hela yenyewe basi unaweza kudhani labda ni milioni 100. Kumbe kila goli milion 10. Akiulizwa huyo anayelalamika kwamba hizo milion 10 zitaenda kufanyia utatuzi wa kitu gani kwa pesa hiyo atabaki anajiumauma.
Kingine watu wanalalamika bila hata kujua pesa zinatoka kwenye mfuko wake rais, wanadhani labda anaikamua hazina.
Vitu vingine ni nongwa tu.
Huna Akili.
 
Nazidi kujiridhisha kuwa wewe una akili "kubwa" lakini dish limecheza kidogo na hauko sawa.
Kiwango hiki cha dish kucheza huwa sio hatarishi kwa jamii iliyokuzunguka, lakini ni jambo jema kama utawahi kuwaona wataalamu ili kuzuia madhara zaidi.
Pole, ni mambo ya kawaida tuu hayo!
Ukipona Uwendawazimu wako rudi tena Kwangu sawa? Naona bado hujapona.
 
Kwa sasa ni rasmi kuwa ukitaka Kumlipia Mwanao Bima yake ya Afya kwa Mwezi ni Tsh 160,000/ na ya Familia ni Tsh 600,000 huna hizo Pesa ukiugua subiria tu Kufa na tukakuzike.

Hivyo basi GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) namuomba Mheshimiwa Rais Samia kuwa kwakuwa kumbe kuna Hela za Kuchezea za Kununua Magoli ya Simba, Yanga na Taifa Stars hata Wakiyafunga 1000 tunaomba kwa Upendo na Utayari wake huo huo atulipie / awalipie Watanzania Wote hii / hiyo Tsh 600,000/ ya Bima ya Afya ya mwaka.

Na kiukweli tutamshukuru na hata pengine kumuomba awe Rais wetu wa Milele / Maisha.
Hoja nzuri sana hii.
 
Nikiwaambia hakuna Rais pale mnaniona mjinga.Nawakukbusha tu juzi juzi katoa misaada kwenye nchi za watu huko.Ety sisi ni DONA CANTRI
 
Halafu hela yenyewe basi unaweza kudhani labda ni milioni 100. Kumbe kila goli milion 10. Akiulizwa huyo anayelalamika kwamba hizo milion 10 zitaenda kufanyia utatuzi wa kitu gani kwa pesa hiyo atabaki anajiumauma.
Kingine watu wanalalamika bila hata kujua pesa zinatoka kwenye mfuko wake rais, wanadhani labda anaikamua hazina.
Vitu vingine ni nongwa tu.
Roho mbaya za kimaskini tatizo letu watanzania.
 
Kwa sasa ni rasmi kuwa ukitaka Kumlipia Mwanao Bima yake ya Afya kwa Mwezi ni Tsh 160,000/ na ya Familia ni Tsh 600,000 huna hizo Pesa ukiugua subiria tu Kufa na tukakuzike.

Hivyo basi GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) namuomba Mheshimiwa Rais Samia kuwa kwakuwa kumbe kuna Hela za Kuchezea za Kununua Magoli ya Simba, Yanga na Taifa Stars hata Wakiyafunga 1000 tunaomba kwa Upendo na Utayari wake huo huo atulipie / awalipie Watanzania Wote hii / hiyo Tsh 600,000/ ya Bima ya Afya ya mwaka.

Na kiukweli tutamshukuru na hata pengine kumuomba awe Rais wetu wa Milele / Maisha.
Rais anaacha kununua madawati ananunua magoli?
 
Inabidi mods wawaanzishie jukwaa la ushoga sasa.

Watu wanajadili michezo we kichwa chako kinawaza machoko, hivi mtoto wa kiume unakuwaje comfortable kuongelea mambo ya mashoga kila saa.
Haki ya Mungu wanakera, kuna vitu muhimu vya kuongelea ila inaonekana hilo neno na matendo yake wanayependa kweli maana kila Kukicha wanalitaja wakidhani wanadidimiza wakati kumbe wanapromote. Wanakera mno!
 
Back
Top Bottom