Rais Samia: Ukinikuna Vizuri, mimi nakukuna huku nnakupapasa na kukupuliza. Lakini "Ukinipara...Nakuparura!

Kauli hizo zina onyesha kuwa;........

Ukitaka kujua kuwa Mama ni makali basi wewe jaribu kumkatisha mbele yake na kumvurugia timing ktk harakati za kupigania maendeleo ya wananchi...basi ujue umekwisha.

unaufahamu moto wa "kumbi"? uliza uambiwe.........
 
Mama yetu anadhani tunamchukia... hapana" hatukuchukii bi mkubwa...! Tunaongea Sana kwa sababu mzee alituonyesha mchoro wa maendeleo.. bila kuwa tegemezi inawezekana na kwamba wakikufurahia Kuna sehemu unabolonga.. Sasa ili wote tufurahi na tupapasane vizuri.. weka mambo wazi kama mkeka wa beti ukibeti ndundi.. maumivu kwa aliyecheza akaliwa na aliyekuwa anapigana akapigwa..! Watanzania wa Hali ya chini hawana kwa kushtaki sasaivi
 
Bitozo atakuwa anaukumbuka mkuno wa yule mzee wa kizungu aisee inaonekana anamkuna maza vizuri kule majuu
 
Hivi angeenda sherehe za BAKWATA akatoa hicho kijineno mbele ya Mufti unadhani wangeshangiliaje?
 
๐Ÿ˜
 
Kiswahili lugha yetu adhimu.....utamu hupatikana katika KUZISIKILIZA lahaja zake tofauti๐Ÿ˜

Amiri Jeshi wa majeshi ya ulinzi na usalama anaupiga mwingi ๐Ÿ™

#Siempre JMT๐Ÿ™
 


Lakini kutumia maneno yenye ukakasi (kupanua-jpm) na sasa (kukuna -ssh) ni sawa kwa viongozi wa hadhi yao?
 
Mkuu wangu Nyboma vipi umekuwaje kaka mkubwa ?!!!

Ama roho inakuuma kwa kuwa "enzi iliyopita" hamkuwa mkisafiri kwenda Ulaya zaidi ya humuhumu tu ?!!!!!!

Kisa posho eeee?!!! ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

#Siempre JMT๐Ÿ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ