Rais Samia: Ukinikuna Vizuri, mimi nakukuna huku nnakupapasa na kukupuliza. Lakini "Ukinipara...Nakuparura!

Bi mkubwa ana mbwe mbwe sana.. [emoji23][emoji23]

Mwacheni 'Bibi Engeza' afanye kazi yake!

Kama mishahara ameshasema ata'engeza'
Bajeti ya maji amesha engeza
Madarasa ameengeza
Vituo vya afya ameengeza...
Bajeti ya miundo mbinu amesha engeza.
Ajira zilikuwa kiduchu, juzi kati ameengeza zingine...
Nk nk
Mungu atupe nini zaidi? 😀😀😀
Baada ya miaka mingi ya kumkosa mzee Ruksa, sasa tumepata 'Bibi Engeza'.
Nina uhakika kila kitu kitakuwa saafi kabisa...
 
Praise and Worship

Inaonekana Tz itaongoza kwa Marais wake kutomaliza kwa mujibu
 
Mkuu wangu Nyboma vipi umekuwaje kaka mkubwa ?!!!

Ama roho inakuuma kwa kuwa "enzi iliyopita" hamkuwa mkisafiri kwenda Ulaya zaidi ya humuhumu tu ?!!!!!!

Kisa posho eeee?!!! 🤣🤣

#Siempre JMT🙏
Si kweli Comrade mimi nipo na mama muda wote, bila shaka nimeamua kuunga juhudi kimyakimya 😀
 
Wanabodi

Rais Samia ambaye ni Rais Mwanamke wa Kizanzibari mwenye lugha tamu laini na lafudhi ya Kizanzibari, yenye maneno na vineno, vitamu hadi raha kumsikiliza haku ukitamani asimalize kuzungumza.

Leo kwenye maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa habari, Rais Samia katamka maneno haya

"Ukinikuna Vizuri, mimi nakukuna huku nnakupapasa tena na kukupuliza ufu ufu ". Lakini "Ukinipara...Nakuparura!" - Hivi Vijineno!, Japo Vitamu Hadi Raha Kusikiliza!.

Hili ni onyo la kiana kwa vyombo vya habari, tujitahidi kumkuna Mama ili na yeye atukune, na atupapase. Tuepuke kumpara, asije kutuparura!. Ikitokea Mwandishi wa habari akampara Mama, no one knows huko kumparura, style ya Mama ya kumparura ikoje!. Kule nyuma aliwahi kutoa onyo kama hilo kuwa "ukimzengua, tutazenguana", Leo ni "ukinipara, nitakuparua!. Kwa vile no one knows uparuaji wake, unaweza kuwa mchungu kuliko Shubiri, hivyo natoa wito kwa waandishi wenzangu wa habari tujitahidi sana tusije mpara Mama, Shubiri, tutaionja.

Happy Press Freedom Day.
Paskali
Rejea za Mama Samia anavyoongea vizuri

Kwahiyo Polepole kakunwa au kaparuliwa?
 
Ashindwe kuparura Panya wa Barabarani anakwenda kuparura waandishi?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Balire kasema Samia kainua muhimili wa uhandishi wa abari uliokuwa umeanguka,kumbe kuna kuparulana,sasa nikipi kilichoinuka kama bado kuna vitisho vya kuparulana?Hapo utakuta waandishi wamempigia makofi baada ya kauli hiyo.
 
Wanabodi

Rais Samia ambaye ni Rais Mwanamke wa Kizanzibari mwenye lugha tamu laini na lafudhi ya Kizanzibari, yenye maneno na vineno, vitamu hadi raha kumsikiliza haku ukitamani asimalize kuzungumza.

Leo kwenye maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa habari, Rais Samia katamka maneno haya

"Ukinikuna Vizuri, mimi nakukuna huku nnakupapasa tena na kukupuliza ufu ufu ". Lakini "Ukinipara...Nakuparura!" - Hivi Vijineno!, Japo Vitamu Hadi Raha Kusikiliza!.

Hili ni onyo la kiana kwa vyombo vya habari, tujitahidi kumkuna Mama ili na yeye atukune, na atupapase. Tuepuke kumpara, asije kutuparura!. Ikitokea Mwandishi wa habari akampara Mama, no one knows huko kumparura, style ya Mama ya kumparura ikoje!. Kule nyuma aliwahi kutoa onyo kama hilo kuwa "ukimzengua, tutazenguana", Leo ni "ukinipara, nitakuparua!. Kwa vile no one knows uparuaji wake, unaweza kuwa mchungu kuliko Shubiri, hivyo natoa wito kwa waandishi wenzangu wa habari tujitahidi sana tusije mpara Mama, Shubiri, tutaionja.

Happy Press Freedom Day.
Paskali
Rejea za Mama Samia anavyoongea vizuri

maneno yananifikirisha.
 
Back
Top Bottom