Rais Samia: Ukinikuna Vizuri, mimi nakukuna huku nnakupapasa na kukupuliza. Lakini "Ukinipara...Nakuparura!

Hiyo ndiyo maana ya uhuru wa habari hapa Tanzania. No need to seek the truth? Ndiyo maana Watanzania tunashindwa kwenye usaili mwingi wa kimataifa. Fikra fikirishi zinatupa taabu sana!! Come again!

Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app
 
Mi nadhani ili wasimpare, basi ajitahidi asiwe na magamba. Ama sivyo, wataparurana sana. Na sijui mwisho utakuwaje?
 
Huyu ni Rais WA ajabu. Kinachoudhi ni udhalilishaji WA urais anaofanya kama kujirusha hivyo na jk na mbaya zaidi mabeberu wamesnza kumla shaaaaame
 
Acheni mama ajinafasi. JK alisema “ukila lazima uliwe”, na Mwinyi alisema “uchumi mumeukalia”
Uchumi mumeukalia ni nyerere,mwinyi aliwataka wahaya wakazane Sana kwenye migomba na kahawa,kipindi hicho neno unakazwa ndiyo linabamba
 
Uchumi mumeukalia ni nyerere,mwinyi aliwataka wahaya wakazane Sana kwenye migomba na kahawa,kipindi hicho neno unakazwa ndiyo linabamba
Fuatilia. Siyo Nyerere, ni Mwinyi ndo alisema kuhusu kuukalia uchumi. Ngoja wakongwe zaidi watie neno. But I stay with my point.
 
Inategemea ngozi yako.

Lakini...ndio uhuru wa kusema. Haki yake.
Umeona ee!
Maana mtu anaweza kuwa na ukurutu si rahisi kumkuna sawa na mwenye muwasho kidogo.
So, hapo inategemea na kuwashwa kwa kiwango gani.
Wengine ukiwakuna taratibu ndo wanasinzia kabisaaa. Inabidi kuwapara kidogo au hata zaidi ili wastuke usingizini!
 
Mimi sijawahi kuona utamu wa lugha anayotumia Rais ila naona mipasho, kejli, dharau, kujigamba na mafumbo ya taarabu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…