Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

Kwaiyo unakiri kuwa raia wa taifa jingine amepata nafasi ya kupewa uongozi wa nyazifa ya juu kwene taifa letu.

Kumbe CDF alikua sahihi. Hii inchi vilaza ni wengi sana.
Hizo zinaitwa "conspiracy theories", hata Nyerere kuna waliowahi kusema ni Mnyarwanda.

Mkapa walisema ni mtu wa Msumbiji.

Lisikutishe sana, wengi wameshutumiwa kuwa siyo raia. Lakini mpaka mtu kama mwendazake ampe uwaziri!

Bora ingekuwa uwaziri kauanzia kwa mama Samia wangesema "Muislam mwenzake, mama kishaiuza nchi kwa wasomali".
 
Huyo Msomali anapatikana wapi na anangoja nini kumtafuta as of now kama nchi hatujafanikiwa lolote kwenye nyanja ya kilimo
Kwa mara ya kwanza Tanzania, katika Uwaziri wa Bashe, Tanzania tunajitosheleza chakula mapema sana katika mwaka na tuna ziyada (surplus) ya chakula kwa asilimia 20.
 
Acha nikae kimya, Muliro amesema wale wanaosema kwa uhuru uliopitiliza ndiyo wanaotekwa na polisi.
 
Wachawi wakaanga sumu mpo wengi sana, hongera kwa roho mbaya
 
Ndio maana Ruto ana hali mbaya sana, intelligence imefeli vibaya mno, ulinzi wa hovyo hadi bunge linachomwa Moto na vibaka. Upuuzi wa kuwaamini wasomali
Ruto alichofanya ni mchawi mpe mtoto akulele.

Kwakuwa wasomali ni wasumbufu kiusalama wa nchi kwahiyo ofisi nyeri ikabidi awakabidhi wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…