Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Uadilifu wako na uchapakazi wako ndio utakao kupatia vyeo.Bila kuvifukuzia vyeo huvilambi
Mama ni muadilifu na mzalendo wa kiwango cha juu sana.Yeye mwenyewe muadilifu?
tena uvifukuzie kwa koneksheni na ulozi juuBila kuvifukuzia vyeo huvilambi
Hivi Paul Makonda ana uadilifu gani???Ndugu zangu watanzania,
Haya ni Maneno ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu HasssanView attachment 3111168View attachment 3111169
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
tangu liniMama ni muadilifu na mzalendo wa kiwango cha juu sana.
Mwamba ni Mzalendo na muadilifu sana.ndio maana amefanikiwa kuaminiwa na Marais Takribani watatu kuanzia wakati wa Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete mpaka sasa wakati wa Jemedari wetu Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu HasssanHivi Paul Makonda ana uadilifu gani???
Wakina nani hao wasio waadilifu? Wamefanya nini na kwa ushahidi upi mpaka useme na kufikia hatua ya kusema siyo waadilifu?..mbona yeye amejaza watu wasio waadilifu ktk serikali yake na ktk chama?
Tangu kuzaliwa kwake.tangu lini
Wakina nani hao wasio waadilifu? Wamefanya nini na kwa ushahidi upi mpaka useme na kufikia hatua ya kusema siyo waadilifu?
Acha kuropoka ropoka kama mlevi wa gongo...tuanze na yeye mwenyewe ni mlarushwa, mzembe, katili, na laghai.
Siyo kweli na hakuna ukweli wa hicho uzungumzayo.Siku hizi cheo kinakufuata kutokana na uchawa,fitina,roho mbaya(kama mzee wa kolomije),rushwa na uchawi.
Kwahiyo wewe huna sifa hata moja ktk hizo na ndio maana umebaki kuwa chawa tu humu,Ili uonewe Huruma.Uadilifu wako na uchapakazi wako ndio utakao kupatia vyeo.
Tafsiri ni kwambaa huko serikalini kuna watu wasio waadilifu wenye kupenda vyeo,Ahsante mama kwa kuwaambia machawa na makunguni kama Lucas Mwashambwa na wengine wotee ,wajikite ktk kaziii ,mfano mzuri Baba yangu Sokoineeee kutoka Wilayani Kwetu MonduliNdugu zangu watanzania,
Haya ni Maneno ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
kiongozi wa upinzani kamtaja Mkuu wa Mkoa Arusha kua ndio aliongoza genge lililomshambulia kwa risasi 17 mwilini Bado RC yupo kazini /mamlaka ya uteuzi haijataka kumtoa kupisha uchunguzi........UADILIFUNdugu zangu watanzania,