Rais Samia: Ukiwa Muadilifu Vyeo Vitakufuata Ulipo

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu watanzania,
Haya ni Maneno ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Screenshot_20240930-142818_1.jpg
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Attachments

  • Screenshot_20240930-142827_1.jpg
    Screenshot_20240930-142827_1.jpg
    199.4 KB · Views: 2
Ndugu zangu watanzania,
Haya ni Maneno ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu HasssanView attachment 3111168View attachment 3111169

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hivi Paul Makonda ana uadilifu gani???
 
Siku hizi cheo kinakufuata kutokana na uchawa,fitina,roho mbaya(kama mzee wa kolomije),rushwa na uchawi.
 
Tafsi
Ndugu zangu watanzania,
Haya ni Maneno ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tafsiri ni kwambaa huko serikalini kuna watu wasio waadilifu wenye kupenda vyeo,Ahsante mama kwa kuwaambia machawa na makunguni kama Lucas Mwashambwa na wengine wotee ,wajikite ktk kaziii ,mfano mzuri Baba yangu Sokoineeee kutoka Wilayani Kwetu Monduli
 
Ndugu zangu watanzania,
Haya ni Maneno ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
kiongozi wa upinzani kamtaja Mkuu wa Mkoa Arusha kua ndio aliongoza genge lililomshambulia kwa risasi 17 mwilini Bado RC yupo kazini /mamlaka ya uteuzi haijataka kumtoa kupisha uchunguzi........UADILIFU
 
Back
Top Bottom