Rais Samia uliomba ripoti ya "haraka" kuhusu utekaji nchini! Haraka ni muda gani?

Yuko msibani! Anajali waliokufa kuliko walio hai!
Just typical!
 
Hapo point yako nini? Kama ni kweli alikamtwa halafu akauwawa ndo inaleta nafuu kwasababu hakutekwa?

What kind of reasoning is this?

Hayo mengine ya hizo edited clips za Lissu hayahusiani na swali langu kwako.
 
Ile ilikuwa funika kombe mwanaharamu apite, alikuwa anazuga tu huku akichekea tumboni .
 
Sina habari hiyo.

Weka hicho kifungu tukisome.

Heeee 😳😳😳
Kumbe kazi ipo!
Sasa Kwanini unajifanya kujua zaidi @ Mpendwa?!

Unazani vile Viongozi wa awamu zilizopita (isipokuwa ya JPM) ambavyo walikuwa wakihutubia Taifa regularly ulizani inategemea na hisani ya Rais ??
 
Wacha kubabwaja na kuhororoja bila mpango:

Weka hicho kifungu tukisome.
 
Wacha kubabwaja na kuhororoja bila mpango:

Weka hicho kifungu tukisome.

Hapana sio Siri umenishangaza mno kupita kiasi! πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Kuna minimum understanding ya mambo inatarajiwa mtu mwenye umri fulani awe anajua hata kama sio msomi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…